kwanini mkuuWenye vichogo virefu waogope kama ukoma
UkorofiMbona daudu Bashite ana kichogo na alipata yai.
Spoken like a man in the street. Tunasubiri mchango wa ma specialist.MTU kwenye kichwa kikubwa mwili Mdogo IQ yake ni ndogo sana, vile vile MTU kwenye kchwa kidogo mwili mkubwa IQ yake ni ndogo sana.
Kwa maneno haya, mwenye pua kubwa ana kamasi jingi au sio!Kama tukiangalia hili swala katika angle ya Evolution tutakubaliana kua ukubwa wa kichwa unamaanisha ubongo mkubwa umehifadhiwa katika fuvu la kiumbe husika na anakua ana maarifa kushinda kiumbe cha kabla yake.
Hivyo kwa angle hii ni dhahiri kua inaona mwenye kichwa kikubwa atakua mwenye akili kushinda mwenye kichwa kidogo.
Ndiyo evolution inavyosema hivyo?Kwa maneno haya, mwenye pua kubwa ana kamasi jingi au sio!
Vyakula,malezi na mazingira 100%true.swala la mtu kuwa na akili nyingi lina uwanja mpana sana. kwa mfano vyakula malezi pamoja na mazingira. ila halihusiani na kuwa na kichwa kikubwa.
na ndio maana wahenga walisema ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
DuhKichwa cha chini ama cha juu?
Kwani akili inapimwa kwa uwezo wa kufanya vizuri darasani?.......Mbona daudu Bashite ana kichogo na alipata yai.
Nakubaliana na ww mkuuswala la mtu kuwa na akili nyingi lina uwanja mpana sana. kwa mfano vyakula malezi pamoja na mazingira. ila halihusiani na kuwa na kichwa kikubwa.
na ndio maana wahenga walisema ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.