Ukubwa au udogo wa kichwa una uhusiano gani na kiwango cha akili?

Ukubwa au udogo wa kichwa hauna uhusiano wowote na wingi au upungufu wa kiakili.

Ila kuna uhusiano wa akili na idadi ya mikunjo ya ubongo hii ilidhilika baada ya wanasayansi kuchunguza ubongo wa watu ambao walikuwa na akili nyingi/genius - uchunguzi wa kimahabara/upasuaji kichwa ulifanyika baada ya wahusika kufariki Dunia. Siku hizi ubongo unaweza kuchunguzwa bila ya kupasua kichwa badala yake wanatumia kutumia M.R.I masheni.
 
Ukubwa au udogo wa kichwa hauna uhusiano wowote na wingi au upungufu wa kiakili. u

Ila kuna uhusiano wa akili na idadi ya mikunjo ya ubongo hii ilidhilika baada ya wanasayansi kuchunguza ubongo wa watu ambao walikuwa na akili nyingi/genius - uchunguzi wa kimahabara/upasuaji kichwa ulifanyika baada ya wahusika kufariki Dunia. Siku hizi ubongo unaweza kuchunguzwa bila ya kupasua kichwa badala yake wanatumia M.R.I masheni.
 
Wa2 wenye vichwa vilivyo kaa kama vimepinda upande mmoja wanakuwa na akili kuliko wenye vichwa vilivyo kaa vizuri
 
Kama tukiangalia hili swala katika angle ya Evolution tutakubaliana kua ukubwa wa kichwa unamaanisha ubongo mkubwa umehifadhiwa katika fuvu la kiumbe husika na anakua ana maarifa kushinda kiumbe cha kabla yake.

Hivyo kwa angle hii ni dhahiri kua inaona mwenye kichwa kikubwa atakua mwenye akili kushinda mwenye kichwa kidogo.
Kwa maneno haya, mwenye pua kubwa ana kamasi jingi au sio!
 
Mm ktk research yangu ya muda mrefu lkn isiyo rasmi,vijana wengi waliokuwa wanasumbua sana darasani walikuwa na vichwa vikubwa hasa sehemu ya paji la uso..yani uwiano na wenye vichwa saizi ya kawaida au ndogo inaweza kuwa 7:3 au 70% kwa 30% .Kama unabisha kaangalie darasani kwako wale top 10 darasani kwenu alafu tupe mrejesho hapa jamvini...karibu
 
Brain size is not directly correlated with intelligence.It is not the physical size of the brain that determines intelligence but it is the number of active synapses.
kasome biology form three kujua synapse ni nini.
 
swala la mtu kuwa na akili nyingi lina uwanja mpana sana. kwa mfano vyakula malezi pamoja na mazingira. ila halihusiani na kuwa na kichwa kikubwa.

na ndio maana wahenga walisema ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
Vyakula,malezi na mazingira 100%true.
 
The big the head the small ze grey matter...ze small ze head the big the grey matter.
Kwa wasiojua grey matter ndio hubeba akili.
Haya
 
swala la mtu kuwa na akili nyingi lina uwanja mpana sana. kwa mfano vyakula malezi pamoja na mazingira. ila halihusiani na kuwa na kichwa kikubwa.

na ndio maana wahenga walisema ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
Nakubaliana na ww mkuu
 
Mimi nina mifano ya pande moja tu kuhusu hili so sijathibitisha upande wa pili.

Nina nifano ya watu zaid ya watutu ambao ukweli wana vichwa vidogo sana na akili nazo hazikuwa rafiki na wao.

Sasa kwa hoja hii nawaza au huenda kuna mahusiano kwa mbali kati ya udogo wa kichwa na akili ndani yake.

Tanx mleta uzi we gain more and more.
 
Back
Top Bottom