Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

Mimi kinachoniudhi ni hawa clouds tu kulitumia hili neno tofauti na maana yake halisi
 
... Waste of time and space, si ungeuchuna tuu mods wanafanya wajibu wao? Back to the topic ni kweli ITV ni creative...
Creativty ipi?wafanyakazi wa ITV ndio waliochoka kuliko Tv zote wakitanguliwa na TBC.
Huwezi kuwalinganisha wafanyakazi wa clouds na ITV kwa viwango na jambo lolote.Tafuta namna ya kupandisha Tv yako
 
... Nina haja kweli ya kushindana na wewe? No thanks.
 
Creativty ipi?wafanyakazi wa ITV ndio waliochoka kuliko Tv zote wakitanguliwa na TBC.
Huwezi kuwalinganisha wafanyakazi wa clouds na ITV kwa viwango na jambo lolote.Tafuta namna ya kupandisha Tv yako
Wamechoka kivip wanamaisha duni au vp
 
Wamechoka kivip wanamaisha duni au vp
Wanasubiri mshahara goli hadi goli.wenzao clouds,efm na hata eatv,matamasha kibao.ulishawahi kusikia ITV wameandaa tamsha?
Toka enzi ya mikidadi mahamudu walimleta Binnie Man,akabuma mpaka leo hawataki kusikia hiyo kitu
 
Unaweza ukaandaa tamasha na wewe ukapata hela ya kulala na kula tu ya kuweka akiba isiwepo
 
Back
Top Bottom