Ukristo unahubiri upendo, je huu ni upendo wa aina gani? Au huu ni Ukristo wa aina gani?

Mafundisho ya dini ya Kikristo yamejikita zaidi kwenye upendo, kwani ndio amri iliyo kuu kama tulivyo agizwa na Bwana wetu Yesu Kristo.

Miongoni mwa mistari inayo onyesha kiwango cha hali ya juu cha upendo ni ule unaosema tusamehe saba mara sabini. Pia upo ule mstari unaosema ukipigwa shavu la kushoto, geuza na la pili.

Sasa hebu tazama hiyo video, kisha tujadili, ni nini kimetokea? Je huyu anayepiga wenzake na ni kiongozi wa kanisa anasimamia andiko kutoka mstari gani?

Je, huu ni upendo wa namna gani?
Hao mapepo bila kichapo hawasikii
 
Utaambiwa huna jicho la kiroho!
 
Huu ni upendo mkubwa sana, imagine unachapwa na askofu na nabii na mtume huku muziki wa wana praise ukipigwa.
Hayo makanisa ukipata kuguswa na nabii lazima ukashuhudie mtaani.
Ni mungu kabisa hao manabii
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom