Ukristo kuongeza Tanzania (28m in 2010-94m in 2050), je sababu ni zipi?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Ziara ya Papa Francis, kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani' kule Msumbiji na kwingineko kusini mwa jangwa la Sahara imepelekea mjadala juu ya ukuaji wa ukatoliki Africa wakati huohuo ukishuka katika baadhi ya nchi za Ulaya.
Sababu mojawapo ni 'ugumu wa maisha' kwani makanisa hasa kanisa katoliki linatoa misaada ya kidunia kama shule, hospitali na kadha wa kadha.
Kama hii ndio sababu kubwa basi inawezekana kuwa serikali ya CCM au ya chama kingine haitatutoa kwenye hali ngumu ya maisha kwa tulio wengi.

1567741910595.png


Source: https://www.bbc.com/news/world-africa-49564397
 
Back
Top Bottom