Ukraine yakamilisha mchakato wa awali kujiunga na EU

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,021
1,608
Ukraine imekamilisha mchakato wa awali uliohusisha maswali ambapo sasa hatua inayofuata ni kuanza mchakato rasmi wa kuelekea kujiunga na Umoja wa Ulaya (EU), hayo yamesemwa na Msaidizi wa Rais Volodymyr Zelenskiy

Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen alikabidhi nyaraka za maswali hayo kwa Rais Zelenskiy wakati alipozuru Kyiv, Aprili 8, 2022, lengo likiwa ni kuharakisha mchakato baada ya Ukraine kuvamiwa na Russia.

“Tunaamini mwitikio utakuwa mzuri na itabaki kazi ya wanachama wa EU kuamua, kuna uwezekano uamuzi ukapitishwa Juni 2022 katika kikao kijacho cha Baraza la EU,” – Zhovkva.

Source: Euractiv

===============================

Ukraine completes questionnaire for EU membership – official

Ukraine has completed a questionnaire which will form a starting point for the European Union to decide on membership for Kyiv, Ihor Zhovkva, deputy head of President Volodymyr Zelenskiy’s office, said.

European Commission President Ursula von der Leyen handed the questionnaire to Zelenskiy during her visit to Kyiv on April 8th, pledging a speedier start to Ukraine’s bid to become a member of the EU following Russia’s invasion of the country.

“Today, I can say that the document has been completed by the Ukrainian side,” Zhovkva told the Ukrainian public broadcaster Sunday (17 April) evening.

He added that the European Commission would need to issue a recommendation on Ukraine’s compliance with the necessary membership criteria.

“We expect the recommendation … to be positive, and then the ball will be on the side of the EU member states.”

Zhovkva added that Ukraine expects to acquire the status of a candidate country for EU accession in June during a scheduled meeting of the European Council meeting.

The European Council is to meet June 23-24th, according to the Council’s schedule on its website.

“Next, we will need to start accession talks. And once we hold those talks, we can already talk about Ukraine’s full membership in the EU,” Zhovkva said.
 
Jambo jema sana, lakini sio habari nzuri kwa mtu anayeitwa Putini
 
EU hawawezi kumkubali huyo kwasasa kwa umasikini alio nao atakua na mchango gan zaidi kua omba omba tu kwa wenzake ,
 
Eu walihitaji Ukraine kwa kuwa ilikua na viwanda vingi vya nuclear na vinginevyo waligaiwa bure, Russia alilijua hilo kaenda kuviparaganya kimoja baada ya kingine sidhani kama atakubaliwa
 
Back
Top Bottom