Ukraine: Waziri Mkuu aomba kujiuzulu kwa mara ya pili ndani ya miezi miwili

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1583312371993.png

Waziri Mkuu wa Ukraine, Oleksiy Honcharuk, amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa mara ya pili katika miezi miwili. Wabunge kutoka chama tawala wataamua leo kama watakubali kujiuzulu kwake au la wakati wa kikao maalum.

Waziri wa fedha na mambo ya nchi za kigeni huenda pia wakaondolewa katika nyadhifa zao kama sehemu ya mabadiliko ya baraza la mawaziri.

Naibu Waziri Mkuu Denys Shmygal anapigiwa upatu kuchukua nafasi ya Honcharuk. Shmygal awali alihudumu kama mkuu wa utawala wa kikanda katika jimbo la magharibi la Ivano-Frankvisk kabla ya kuchukua wadhifa wa naibu waziri mkuu mwezi uliopita.

Hakukuwa na kauli ya mara moja kutoka kwa Honcharuk au Rais Volodymyr Zelenskiy. Haijafahamika wazi kilichomfanya Honcharuk kuwasilisha barua ya kujiuzulu kwa mara ya pili.

====

Prime Minister Oleksiy Honcharuk submitted his resignation for the second time in two months. President Volodymyr Zelenskiy previously wanted to give him a second chance.

Ukrainian Prime Minister Oleksiy Honcharuk submitted his resignation on Tuesday for the second time within two months. Lawmakers from the ruling party will decide on Wednesday if to accept it during a special session.

The finance and foreign minister could also be replaced as part of the Cabinet reshuffle.

Deputy Prime Minister Denys Shmygal is tipped to replace Honcharuk. Shmygal had previously served as head of the regional administration in the western Ivano-Frankivsk region before taking on the deputy role last month.

There was no immediate comment from Honcharuk or President Volodymyr Zelenskiy. It isn't clear what prompted Honcharuk to now tender his resignation for a second time.

Honcharuk attempted to leave his role in January after leaked audio emerged of him seeming to call Zelenskiy a "layman" in economics. Zelenskiy is a former comedian with no political experience until he came into office in 2019.

At the time, Zelenskiy rejected Honcharuk's resignation, saying he was willing to give him a second chance. He added that it was not the time to shake Ukraine politically.

Zelenskiy's won a landslide victory in last year's April elections as a political outsider who promised to crack down on corruption. Since then, approval ratings for his government have dropped, particularly after a struggle to end the war against Russia-backed separatists in the eastern Donbass region.

Source: DW
 
Back
Top Bottom