Ukraine: Wakazi wa Mji ambao Serikali imepeleka walioondolewa China sababu ya Corona washambulia mabasi kupinga uamuzi huo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Baada ya Serikali ya Ukraine kutangaza kuwaondoa raia wake waliokuwepo China kufuatia mlipuko wa Corona Virus, Wakazi wa Mji ambao watu wao wanatarajia kukaa kwa muda wa siku 14 wakati wapo kwenye uangalizi maalum wameshambulia mabasi yaliyokuwa yakisafirisha watu hao na kufanya vurugu.

Wakazi hao hawajafurahishwa na uamuzi wa Serikali kuwaleta Mjini humo wakidai wanawekwa katika hatari ya kupata maambukizi ya Virusi vya Corona.

Licha ya kwamba Mamlaka zimehakikisha kuwa watu hao hawana maambukizi, wakazi wa mji huo wamefanya vurugu wakisema wanawekwa hatarini

Hata hivyo, watu waliotolewa China wamefikishwa Hospitali na Polisi wapo katika eneo hilo kuimarisha usalama

======

1582275139427.png


Residents of a town that will house evacuees from Wuhan clashed with police amid fears of a coronavirus spread. President Volodymyr Zelenskiy has assured locals that the evacuees present no danger to the community.

A central Ukrainian town was the scene of clashes on Thursday as outraged residents protested against the arrival of evacuees from China, who were set to be quarantined for the coronavirus.

Some 45 Ukrainians and 27 foreign nationals were evacuated from the Chinese city of Wuhan, the epicenter of the COVID-19 outbreak, and brought to a sanatorium in the town of Novi Sanzhary, east of Kyiv, for a two-week quarantine period.

So far, no confirmed cases of the virus have been registered in Ukraine. But fears of a possible spread of the virus drove locals to confront the convoy of buses that were transporting the evacuees.

In a daylong standoff, residents clashed with authorities, burned tires, attempted to block a bridge and hurled projectiles at the buses. Two of the vehicles' windows were smashed while the evacuees were inside. Protesters shouted "shame on you" at hundreds of helmeted police that had been deployed to maintain order.

"Isn't there any other place in Ukraine that can host 50 people, that is located in more or less remote villages or in far off areas where there is no threat to population?" resident Yuriy Dzyubenko was quoted by Reuters as saying.

Despite the riots, the evacuees were successfully brought to the clinic, which was promptly sealed off by police.

Source: DW
 
Back
Top Bottom