Ukosefu wa madawa mahospitalini: Amejinyonga baada ya kufiwa na mtoto..

Tunatakiwa kujua kama huyo mama pia hakuwa mgonjwa wa akili!

Kama wewe huna mtoto /watoto basi swali lako laweza kujibiwa. Ila kama unao watoto /mtoto basi wewe ndio utakuwa ukapimwe akili kwakuwa unaweza kuwa mgonjwa wa akili.
 
Back
Top Bottom