Ukosefu wa maadili wa msanii huyu anayejiita kivuli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukosefu wa maadili wa msanii huyu anayejiita kivuli

Discussion in 'Entertainment' started by donlucchese, Oct 2, 2011.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,320
  Likes Received: 3,457
  Trophy Points: 280
  Salam wakuu. ni j2 nyingine tunamshukuru Mungu kwakua tu hai. hapa nataka kuongelea swala la msanii huyu anayejiita kivuli. Kuna rafiki yangu alinitumia wimbo huu kwa bluetooth,akiniambia niusikilize ni msanii fulani wa bongo ila yupo States nasikia pia anajihusisha na mieleka locally. kusema kweli humu ndani ametukana sana wasanii wenzake,mitandao ya simu hapa bongo ila kikubwa kilichonigusa ni swala la kusema anamsaka Mh.Rais Kikwete na ametega mabomu vituo vyote vya polisi. Hivi,jeshi la polisi kwa kushirikiana na idara ya usalama wa taifa wameshindwa kumtrack huyu mtu/ hebu sikilizeni wenyewe wimbo huu hapa :Download kivuli - bomu,j.mp3 from Sendspace.com - send big files the easy way
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  we nawe hovyoooooooooooooooooo!
   
 3. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,320
  Likes Received: 3,457
  Trophy Points: 280
  i doubt your IQ
   
 4. m

  mkalagale Member

  #4
  Oct 2, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii nyimbo ipo kitambo tu mi nimeisikia miezi kama mitano iliyopita but we umejuaje kama jamaa yuko state na anahusika na mieleka
   
 5. u

  utantambua JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aaaaarrrgghh nilizani ishu ya maana kumbe upupu mtupu
   
 6. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,320
  Likes Received: 3,457
  Trophy Points: 280
  mkuu kuna jamaa wang fulan ambae ndi alinitumia aliniambia hayo yote
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hyu bwa mdogo namsikia kitambo sana...................atashughulikiwa tu usihof
   
 8. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,320
  Likes Received: 3,457
  Trophy Points: 280
  safi sana mkuu
   
Loading...