Uchaguzi 2020 Ukosefu wa hela ya kupiga kampeni wageuka neema kwa vyama vikubwa nchini

Unajua anachopenda Mungu kufanya huambatana na changamoto. Kwa mpango wa Mungu, Lisu alipaswa kuwa mgombea urais 2020. Angepenyaje ktk makamanda wote wa CDM?
Plan ya Mungu,
1)Lisu anza harakati za kupinga udkt uchwara
2). Jiwe fanya ushirika na Bashite.
3). Anazisha kitengo cha incognito
4). Incognito mimina magazine kwa Lisu.
5)Lisu nusurika kwa nguvu yake Mola, nenda nje kakutane na dunia.
6) Lowasa/Sumaye pata hofu - rejea mlipotoka
7) Nchi yote saiiii!!!!! Yaani kimyaaa!!!
8) Polepole/Bashiru anazisha kero, kero, kero, vikao, nunua wapinzani, TV zote TUMETEKELEZA KWA KISHINDOOOO!!!!. Hakuna kingine cha kuangalia. Kila ukifungua Tv utasikia Mwanantala na reli au Greyson na Bwawa la umeme au Rioba na dream liner.
9) Ni uhakika sasa upinzani umefariki
10) Mara vuuuup! Usiyempenda kaja!
11) Ohooooo, walala hoi wote Lisu, Lisu, Lisu, Lisu, Rais, Rais,, Rais!!!!!!!
12) Zuia huyo Membe asiingize pesa za kampeni, kamata na msaidizi.
13). Mara paaaab! Bakuli la uchaguzi hadharani. Halina CAG wala udhibiti wa msajili. Hata TCRA hawezi ona muamala, TRA haijui nani kaweka nini kwenye bakuli, sasa nani akamatwe kwa kuchangia mgombea?
14) Kwa wasioweza tembea bakuli wamebaki na njia moja tu! Kuunga mkono mgombea wa Uhuru Haki na Maendeleo au kuunga juhudi ujenzi wa miundombinu!
15) Amani iliyopo sasa ni sababu tu ya Robert & Amsterdam, vinginevyo yale ya Ole Sabayi wa Arumeru yangetamalaki!
16) Huenda hata kuondoka mapema kwa Mzee Mkapa ni Mpango wa Mungu kumnusuru na dhambi ya kunyima wananchi Haki yao katika kutangaza mshindi.
17) Mungu hajamaliza kazi yake, ukiona kuna ugumu wowote, jua Mungu anajiandaa kutoa jibu jepesi.
#Tuendelee kusubiri!!!
mwingila kashamaliza na yupo mfungo wa siku 7 kavu yeye na sheikh ponda na huko kwa wenzetu Zanzibar alibadiri kama zote
 
Unawezaje usiamini mbwembwe zote za Lissu tangu ajiunge Chadema, mara makesi kibao na hafungwi, mara eti risasi 16 akapona. Mara Ubeleji, mara kavuliwa ubunge, mara akirudi atakamatwa na hakukamatwa, mara mgombea urais wa Chadema. Unaweza kubisha hajanunuliwa na kuandaliwa bila mambulula yanayomshabikia kujua?
Bila shaka ulichokiandika haukijui
 
Hii combination ya Lissu na Zito ni hatari sana, hizi njemba mbili zote zimejaaliwa uwezo wa kujenga hoja na kujieleza. Pia wana exposure kubwa na mambo yanavyoendeshwa (mifumo) ktk nchi za ulimwengu wa kwanza.
 
Watanzania wasiiachie fursa hii. Wakiipoteza huenda akawachukua muda mrefu Tena kuipata
 
Unajua anachopenda Mungu kufanya huambatana na changamoto. Kwa mpango wa Mungu, Lisu alipaswa kuwa mgombea urais 2020. Angepenyaje ktk makamanda wote wa CDM?
Plan ya Mungu,
1)Lisu anza harakati za kupinga udkt uchwara
2). Jiwe fanya ushirika na Bashite.
3). Anazisha kitengo cha incognito
4). Incognito mimina magazine kwa Lisu.
5)Lisu nusurika kwa nguvu yake Mola, nenda nje kakutane na dunia.
6) Lowasa/Sumaye pata hofu - rejea mlipotoka
7) Nchi yote saiiii!!!!! Yaani kimyaaa!!!
8) Polepole/Bashiru anazisha kero, kero, kero, vikao, nunua wapinzani, TV zote TUMETEKELEZA KWA KISHINDOOOO!!!!. Hakuna kingine cha kuangalia. Kila ukifungua Tv utasikia Mwanantala na reli au Greyson na Bwawa la umeme au Rioba na dream liner.
9) Ni uhakika sasa upinzani umefariki
10) Mara vuuuup! Usiyempenda kaja!
11) Ohooooo, walala hoi wote Lisu, Lisu, Lisu, Lisu, Rais, Rais,, Rais!!!!!!!
12) Zuia huyo Membe asiingize pesa za kampeni, kamata na msaidizi.
13). Mara paaaab! Bakuli la uchaguzi hadharani. Halina CAG wala udhibiti wa msajili. Hata TCRA hawezi ona muamala, TRA haijui nani kaweka nini kwenye bakuli, sasa nani akamatwe kwa kuchangia mgombea?
14) Kwa wasioweza tembea bakuli wamebaki na njia moja tu! Kuunga mkono mgombea wa Uhuru Haki na Maendeleo au kuunga juhudi ujenzi wa miundombinu!
15) Amani iliyopo sasa ni sababu tu ya Robert & Amsterdam, vinginevyo yale ya Ole Sabayi wa Arumeru yangetamalaki!
16) Huenda hata kuondoka mapema kwa Mzee Mkapa ni Mpango wa Mungu kumnusuru na dhambi ya kunyima wananchi Haki yao katika kutangaza mshindi.
17) Mungu hajamaliza kazi yake, ukiona kuna ugumu wowote, jua Mungu anajiandaa kutoa jibu jepesi.
#Tuendelee kusubiri!!!
Fantastic post
 
Wewe Ni kichwa
 
Ccm wamekuwa kama HAMANI wa kwenye biblia aliyemchongea MODEKAI mti ili atundikwe, mti huo ndio uliotumika kumtundika yeyey Hamani badala ya Modekai
 
Back
Top Bottom