Ukosefu wa Fedha Serikalini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukosefu wa Fedha Serikalini

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by IshaLubuva, Sep 14, 2009.

 1. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2009
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna baadhi ya Idara za Serikali hazijapata mgawo wa fedha za matumizi mengine (Other Charges-OC) tangu mwaka wa fedha wa 2009/2010 uanze. Hazi kuna tatizo gani au ndo mmeelekezwa kuanza kuzitunza kwa ajili ya uchaguzi wa 2010. Sasa Mtumishi hajapata fedha kwa ajili ya utekelezaji zaidi ya miezi miwili kwenye hiyo OPRAS tathmini yake inakuwaje? Hebu mtueleweshe
   
 2. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kama ni kweli uyasemayo, basi yawezekana kabisa kunafisadi kapewa zitumike uchaguzi 2010. Wamebanwa sehemu mbalimbali, lakini kwa sababu wanambinu nyingi za kushindwa uchaguzi kama mzee mlcl alivyo wahi kusema, hiyo pia ni mbinu ya kufanikisha uchaguzi 2010
   
 3. K

  Koba JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  Bora ziendelee kukosekana tuu maana hakuna kitu wanafanya...wafe njaa tuu!
   
 4. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Unawatakia hayo walimu,askari,wauguzi/madaktari? Una maana gani mkuu?
   
Loading...