Ukosefu wa ajira unachangiwa na sisi Wenyewe

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Ukosefu wa ajira unachangiwa na sisi wenyewe cz tunasoma vitu ambavyo havipo kwenye market
Na tunasoma vitu ambavyo vina idadi kubwa sana ya wahitimu na kuna watu wengi waliosomea hicho kitu na ukiangalia watu wote hawawezi kuajiriwa kwenye kitu kimoja tena chenye idadi kubwa sana ya watu.

Mfano umesoma Human Resource na ukiangalia kwa hapa TZ almost vyuo vyote vinatoa hiyo Course na kila mwaka wanagraduate unadhani wote wataweza kupata ajira kwenye hicho hicho kitu kimoja chenye Idadi kubwa zaidi ya Watu laki 1

Hili kukomesha hili tatizo tujikite kwenye kusomea vitu vinavyoendana na technology

Mitahala ya Arts ipigwe stop isitumike tena huko kuna idadi kubwa sana

Acheni kusoma arts huko kuna idadi kubwa sana ya watu waliosoma arts na kazi hamna

Tujikite kwenye Science na VETA huko ndo hot cake
 
Hata wakulima ni wengi sana na wanalima mazao yanayofanana.
Ila maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom