Ukosefu wa ajira ni changamoto inayoikabili jamii hasa mtoto wa kike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukosefu wa ajira ni changamoto inayoikabili jamii hasa mtoto wa kike

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by qeentar, Jul 18, 2011.

 1. qeentar

  qeentar Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanawake walio wengi nchini hali yao kiuchumi ni mbaya ukilinganisha na mchango wao katika jamii, hali hii imechangia wanawake wachache kufikia nafasi za juu kabisa katika taaluma,siasa, na biasahara.

  Na pia wamekuwa ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wengine nchini.
   
Loading...