Ukosefu Mkali wa Ajira & Umasikini Uliokithiri. Ajira za Graduates ni Bodaboda, Betting & Machinga

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
Yes,

- Ndio matokeo ya kuwa na viongozi wasio na dira wala mipango yoyote.

- Najiuliza hivi kusingekuwa na bodaboda ( ingawa wanasulubika kila siku ) hao vijana wote wangekuwa wanafanya nini ?

- Betting kila kona na kila siku imekuwa ajira

NCHI ISIYO NA DIRA
 
Mkaruka, katika degree za hivi ni wapi wanaathirika zaidi

First Class 4.4 – 5.0
Upper Second 3.5 – 4.3
Lower Second 2.7 – 3.4
Pass 2.0 – 2.6
 
Ndio mpangilio mpya ?
 
kila changamoto ni fursa.
Tatizo linakuja unapogundua hilo huku mindset yako tangu mtoto ni ajira. kwa sasa naliona kama tatizo la mpito ila likidumu miaka mitano kwa uzito huuhuu nitaliona kama changamoto kwa watawala.
Vision ya viwanda ikifanikiwa, miundombinu mikubwa inayochukua sehemu kubwa ya budget ikifanikiwa vzr hali itarudi kuwa nzuri.
 
Ndio mpangilio mpya ?
Grading ya degree miaka yote iko hivi, inaonekana hujafika chuo kikuu! Kama umepita University lazima uwe unajua hii maana ndicho kilichokupeleka pale!! Kwaheri! Labda umesahau
 
Wazo lako liko perfect, lkn kwa serikali hii, sahau! Forget!
 
Grading ya degree miaka yote iko hivi, inaonekana hujafika chuo kikuu! Kama umepita University lazima uwe unajua hii maana ndicho kilichokupeleka pale!! Kwaheri! Labda umesahau
Kajua ni kama sekondari ndo maana kashangaa.
 
Tatizo la ajira sio Tanzania tu, ni nchi nyingi zinakabiliana na tatizo hili. Jambo la msingi ni mikakati endelevu ambayo serikali imekuwa ikiipanga na kuchukua hatua katika kupunguza tatizo. Serikali imeendelea kuzisisitiza Halmashauri mbalimbali kutenga asilimia 5 za mapato yao kwaajili ya kuwawezesha vijana na asilimia 5 nyengine kina mama. Vijana tumekuwa tukisisitizwa kujiunga katika vikundi ili iwe rahisi kupata mikopo itakayotuwezesha tujiajiri
 
kila changamoto ni fursa.
Tatizo linakuja unapogundua hilo huku mindset yako tangu mtoto ni ajira. kwa sasa naliona kama tatizo la mpito ila likidumu miaka mitano kwa uzito huuhuu nitaliona kama changamoto kwa watawala.
Vision ya viwanda ikifanikiwa, miundombinu mikubwa inayochukua sehemu kubwa ya budget ikifanikiwa vzr hali itarudi kuwa nzuri.
Viwanda gani wakati vilivyopo tu ni majanga
 
Hizo ni porojo za majukwaani wakati wa kusaka KULA. Hakuna mkopo huko halmashauri, kaulizie hata leo. Taifa lina vijana zaidi ya 65% haya tuambie ni asilimia ngapi wamepata hiyo mikopo ?
 
Viwanda gani wakati vilivyopo tu ni majanga
Vikifanikiwa...
hakuna janga ambalo halina ufumbuzi.
maadam wahusika wapo, na wananafasi ya kujirekebisha na kuwa bora zaidi hakuna sababu ya kukata tamaa.
Hayo majanga wenda ni matokeo ya muda mrefu ya kuwepo kiujanjaujanja kukwepakwepa taratibu bila kuguswa. Leo system mpya yenye malengo yasiyokumbatia tabia hizo lazima viyumbe ila vitasimama.
 
Wahusika ni kama matoy tu na midoli, hawana maono yoyote. Tena wengine hawajui hata kama kuna tatizo la ajira
 
kila changamoto ni fursa.
Tatizo linakuja unapogundua hilo huku mindset yako tangu mtoto ni ajira. kwa sasa naliona kama tatizo la mpito ila likidumu miaka mitano kwa uzito huuhuu nitaliona kama changamoto kwa watawala.
Vision ya viwanda ikifanikiwa, miundombinu mikubwa inayochukua sehemu kubwa ya budget ikifanikiwa vzr hali itarudi kuwa nzuri.

Ulienda vizuri sana umeharibu pale ulipotaja "VIWANDA"

Hilo liache hivyo hivyo huo sio mchakato wa 5 or 10 years.
 
Tatizo la ajira sio Tanzania tu, ni nchi nyingi zinakabiliana na tatizo hili. Jambo la msingi ni mikakati endelevu ambayo serikali imekuwa ikiipanga na kuchukua hatua katika kupunguza tatizo. Serikali imeendelea kuzisisitiza Halmashauri mbalimbali kutenga asilimia 5 za mapato yao kwaajili ya kuwawezesha vijana na asilimia 5 nyengine kina mama. Vijana tumekuwa tukisisitizwa kujiunga katika vikundi ili iwe rahisi kupata mikopo itakayotuwezesha tujiajiri
Huo muda wa kutafutana kwanza,
- Mkae kikundi
- Mtafute pesa za kusajili kikundi
- Mfuatilie hiyo mikopo ( kama itakuwepo kweli inaweza kuchukua miaka 3 ndo mpate )
- Tuna wafanya maamuzi mazwazwa kweli
 
Back
Top Bottom