Ukorofi wa mchina: Samsang yawalipa apple $ billion 1 kwa kupeleka malori 30 yenye sarafu za senti 5

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
UKOROFI WA MCHINA: SAMSANG YAWALIPA APPLE $ BILLION 1 KWA KUPELEKA MALORI 30 YENYE SARAFU ZA SENTI 5

Juzi malori 30 yaliyokuwa yamejaa sarafu (ama kunogesha zaidi chenchi) za senti tano tano, yaliwasili kwenye makao makuu ya Apple, jimboni California, Marekani.

Awali, walinzi wanaolinda makao hayo makuu walidhani malori hayo yamepotea njia, lakini dakika chache baadaye, Tim Cook (CEO wa Apple) alipokea simu kutoka kwa CEO wa Samsung Lee Kun-hee, akimueleza kuwa wamewalipa faini yao ya dola bilioni 1, kutokana hukumu dhidi ya kampuni hiyo ya Kikorea.
tim+cook.jpg
Tim Cook
Kitu cha kuchekesha zaidi ni kuwa nyaraka iliyosainiwa haioneshi njia moja ya kulipa faini hiyo, hivyo Samsung ilikuwa na haki ya kuwapelekea faini hiyo watengenezaji hao wa simu za iPhone vyovyote wanavyotaka.

lee-kun-hee.jpg
Lee Kun-hee
Mchezo huu mchafu na wa kijanja utawaumiza kichwa wakurugenzi wa Apple kwakuwa itabidi iwachukue muda mrefu kuhesabu fedha zote ili kuhakikisha kama zimetimia na kujaribu kuzipeleka benki ambako hawajui kama zitakubalika.

Mwenyekiti wa Samsung Electronics Lee Kun-hee, amewaambia waandishi wa habari kuwa kama Apple wanataka kucheza mchezo mchafu na wao pia wanaujua. Undava undava na kama noma iwe noma tu!
 
...Hadithi, Hadithi? Hadithi Njoo,UONGO Njoo na Utamu KOleaa....!!!:lol: :lol:
 
Hii habari wala siyo ya leo au jana!

Mbona ilishatoka siku nyingi sana? Karibia mwezi sasa hii habari tulishaiona. Pamoja na kwamba jamaa kaileta amechelewa sana lakini ni habari ya kweli. Tatizo letu wa-TZ huwa hatusomi news za Kidhungu!!
 
habar za kudhungu zinamaliza bundles mdau Job
 
Kweli inachekesha na kufikirisha kama ambapo ilibidi hukumu isiishie kusema, 'anyongwe' bali 'anyongwe mpaka afe'.
 
hiyo habari ni ya wiki kama mbili kama sio tatu na ilitangazwa kuwa its not true ni internet Hoax

fanya vizuri research yako
 
Hi habari kule gadget ililetwa month ago nafikiri na chief-mkwawa nashengaa mletaji umeandika eti kama imetokea juzi halafu Samsang hawajawahi kuwa na trial na apple its better you sticky on traditional medicine news kwa ushauri
 
Last edited by a moderator:

Offside!!!! kwenye rangi ya kibuluu
Vyanzo vyako vya habari inaonekana ni vichache sana. Jaribu ku-google "apple v/s samsung"

ukipata jawabu urudi jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Hii habari wala siyo ya leo au jana!

Mbona ilishatoka siku nyingi sana? Karibia mwezi sasa hii habari tulishaiona. Pamoja na kwamba jamaa kaileta amechelewa sana lakini ni habari ya kweli. Tatizo letu wa-TZ huwa hatusomi news za Kidhungu!!

...Na Tatizo hilo linaanzia Kwako Mwenyewe. Inaelekea Wewe Ukiishasoma News ya Kizubgu moja tu basi, Umemaliza. Husumbui Kichwa chako kutafuta kama kuna Version nyingine ama Update ya News Uliyosoma! Pole.

Kwa Faida yako meber Mwenzetu ni kuwa hiyo News ilikuwa ni ile inayopewa sifa ya Hoax, Jitu linakaa tu kwenye Mtandao na kuandika kitu anachofikiri kwenye Kichwa chake na kuitundika kwenye Mtandao.
News Hiyo ikipata watu wasiotaka kusumbua vichwa vyao kutafuta ukweli wake basi unaishikia bango na unaweza hata kupigana ukiibishania!
Wengine wameishasema. Hio habari yako imeishawekwa humu na kuna MwanaFJ mwenzetu aliisha weka maelezo ya ilivyo HOAX! POle.
 
Back
Top Bottom