Ukoo wa Panya tumeishiwa chakula!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Jaman hali si hali.

Hata sie matajiri wa Darisalama ambao hatukuamini kama ipo siku tutakuja kuishi kama mashetani tumeanza kuishiwa... Nilikataa huko mwanzo kwamba tutaishiwa, lakini sasa nimekubali.

Ninawahurumia nyie masikini kabisa sijui mtakuwa mnaishije iwapo sisi matajiri (ukoo wa Panya) tumeanza kuisoma namba!

Hivi karibuni tutafunga kakiwanda ketu tukahamishie kwenye nchi ya jirani tusije kufilisika kabisa...
 
Back
Top Bottom