Ukoo wa marealle waandamwa na dhambi ya kupenda madaraka

Mi navyojua kutokana na historia ya vitabu mbalimbali, Marealle alikua Mangi mkuu. Yaani mangi wa mangi wengine wote kule uchagani. Yaani mangi wa rombo, machame, kibosho n.k walikua wanaripoti kwake kila siku na makao yake makuu yalikua pale Moshi mjini. Hivyo alitawala maeneo yoote ya uchagani hadi vuguvugu la uhuru lilipoanza yeye alikua na hoja ya kutaka uhuru wa wachaga. Serikali yake ilikua inamiliki gazeti enzi hizo lililokua linaitwa "KOMKYA" ambapo nlielezwa maana yake kwa kichagga ni "KUMEKUCHA". Hivyo baada ya Nyerere kuingia madarakani ilim-sideline kwa sababu ya kuona eti wachagga ni tofauti na watanzania wengine, na pia alikua na uelewa mpana sana na alikua close sana mna wamissionaries hivyo ikabidi awekwe bench. Sasa nashangaa kuona asili yao ikiibuka tena na kutaka Uchief wao. Swali je watakua tena juu ya vichwa vya wamachame, warombo, wakibosho,waoldmoshi nk kama zamani? Hilo ndo swali najiuliza bila majibu...
 
Alikuwa chifu Mkuu kupitia uchaguzi i guess kwa hiyo hata kama uchifu utarudi; uchaguzi utaamua! au?
 
... That was then. This is 2011, information and communication technology reigns, the talk of the human genome echoes on, stem cell research is on etc. etc, and you have some clowns in halloween puking chief, chef, chief! Watu ingine bana!
 
Kiruuu! waende zao huko! Misifa tu, na washoie shoie kweli. Hakuna mchaga anataka huu ujinga kwa kweli.
 
Hivi yule mama Marealle aliyekuwa akimiliki Kilimanjaro bus si naye wa ukoo huu huu?, nakumbuka alikuwa na binti aliyejulikana kwa jina la Happiness (atakuwa ni mama mwenye watoto sasa, maana nazungumzia kipindi cha zaidi ya miaka 30 iliyopita). Nilisoma naye darasa moja Meru prim Arusha, ilikuwa familia iliyojaliwa wakati huo sijui sasa.
 
hawa kina marreale wameshapitwa na wakati mno....wao wanawazia umangi ktk nchi hii tuuuu......hawana jipya uchagani na haya mambo ya umangi hayapo tena Uchagani zaidi ya kubakia history tu
 
Hivi yule mama Marealle aliyekuwa akimiliki Kilimanjaro bus si naye wa ukoo huu huu?, nakumbuka alikuwa na binti aliyejulikana kwa jina la Happiness (atakuwa ni mama mwenye watoto sasa, maana nazungumzia kipindi cha zaidi ya miaka 30 iliyopita). Nilisoma naye darasa moja Meru prim Arusha, ilikuwa familia iliyojaliwa wakati huo sijui sasa.
sio Mama Marealle bali ni Mama Maeda.
 
uchifu muhimu nyie wachagga mbona hampendi mila na desturi zenu? ndio maana hamna tamaduni mkiambiwa hapa mcheze au muimbe wimbo wa kichaga hakuna chochote na leo hii mnaonyesha jinsi msivyopenda tamaduni zenu, Hamjui kuwa umangi ni moja ya tamaduni zenu? Mangi is a symbol of the Chagga people. Hamuoni hata nchi zilizoendelea duniani kama Uingereza bado wana Malkia mfalme princes dukes and duches. Wana kazi gani hawa? Msipinge vitu bila kuwa na hoja za msingi. Au mlitaka hao machifu wawe wanawapatia hela ndio muone kazi yao ni nini?

Machifu wanawajibu mkubwa na mzuri tu wa kutunza na kudumisha mila na desturi za kabila lao. Hivyo ni vizuri kabisa wakawepo Marangu, Kilema, kurua, Kibosho, Machame, Uru, Rombo kila sehemu ikawa na mangi wake na itapendeza kukiwa na MANGI MKUU anayewaunganisha Wachagga wote. Muicho!
 
The clan of the late paramaount chief Thomas Marealle of the chagga tribe has announced December 28 2011 as the day when the clan will choose its new family leadership as well as select a replacement for the late chief Augustine Marealle who passed away on may 28 2006.

In meeting held in marangu in moshi Rural District in the presence of journalists,the clan categorically rejected claims by Mr Frank Marealle,a busnessman and one of chief Augustine Marealle's younger brothers that he is the heir to the marangu chiefdom.
But according to the family,the matter has yet to be decided upon and no decision will be made until the full clan meeting in Dec.
Speaking on the clan's behalf the acting chairman and first son of the late chief marealle,Mr Teddy Marealle dismissed as unfounded claims by frank that has been chosen by the marangu people to inherit the throne.
He said that frank's campaign to be bestowed as chief ran contrary to chagga customary practise whereby a chief's position is normally inherited by one of his children and not a relative.
"we have received information alleging that frank has been holding unofficial meeting and claiming that the people of marangu have chosen him to inherit chief Augustine as the new marangu chief and that preparations to anoint him were underway.All these claims are false and unfounded" Teddy claimed.

Source:DAILYNEWS

Hakuna dhambi hapo. Uelewa wa watu ni finyu kwa sababu bongo zao zimeoshwa "brainwashed". Mbona nyie mwapenda kutukuza na kushabikia vya watu wengine lakini vya kwenu mnavidharau. Juzi juzi tu hapa wengi wenu mlikesha siku nzima kuangalia harusi ya mwana mfalme wa Uingereza Prince William, mnashabikia akina Princess Diana kama vile ni dada zenu na hata kudiriki kuweka picha zao kila mahali na kuwabatiza watoto wenu "Diana" lakini ya kwenu mnayadharau. Pengine hii ndio dhambi kubwa zaidi katika suala hili. Haishangazi sana kuona waafrika na hususani watanzania kujidharau wenyewe tunaona kwa mfano kwenye footbal tunaacha kushabikia timu zetu tunashabikia na kulipia timu za Ulaya. Na katika bidhaa ni hivyo hivyo. Amini ujinga huu katika mambo kama haya ndio chanzo cha umaskini na kudharaulika kwa waafrika. We have no self esteeem! Pengine ilifaa tuwe na machifu lakini tunapaswa ku-redifine kazi na wajibu wao si lazima tuwe na umangi kama ule wa kabla ya uhuru
 
dhambi ipo kwa sababu nyerere alipofuta uchifu hawa jamaa walipinga sana kwa sababu ya tamaa ya uongozi leo hii bado wanaonyesha tabia ile ile ya kupenda uongozi!
 
Back
Top Bottom