Ukonga: Wananchi waonesha kukosa imani na Waitara

hiyo interview mbona haijadamsh, umeingia msituni imehoji nyumbu peke ake tu lakini haijahoji swala, twiga hata mmoja halafu uka conclude kwamba hayo ni maoni ya wanyama ote.
rudi kahoji na wale wanaojiita king of jango tuwasikie
 
Kwani Wagombea wooote wa CDM hapo Daaaslam lazima watoke Kaskazini, somtym nyie mnaboa. Kubali kataaa Wale Wakurya wa Kivule na Ukonga yote sio mafala kama mnavyodhan kwamba watamtosa kijana wao wampe huyo Mangi wenu.
 
Kwa ujumla hao CCM wanategemea kushinda jimbo la Ukonga kwa "combination" yao ya Polisi+NEC+DC&RC

Kinyume cha hapo CCM ni wepesi zaidi ya tissue paper...........
Mkuu, huenda this time mbinu ikabadilika. Kuna zoezi la kuchukua namba za kadi za kupigia kura, je mwalijua zoezi hili? CCM oyee
 
Kwani Wagombea wooote wa CDM hapo Daaaslam lazima watoke Kaskazini, somtym nyie mnaboa. Kubali kataaa Wale Wakurya wa Kivule na Ukonga yote sio mafala kama mnavyodhan kwamba watamtosa kijana wao wampe huyo Mangi wenu.
Acha ukabila wa kijinga tumia akili yako vizuri. Sijawahi kuwaza kuwa majitu mapumbavu kama wewe bado yanaishi duniani.
 
Kuweni makini akawii kujikojolea huyoooo, hana hamu na kwenda tarime kwao kugombea, ukitaka ugomvi nae mwambie akagombee ubunge tarime.
 
Hiyo video watu wamehojiwa wakiwa kwenye mkutano wa kampeni CHADEMA sasa ulitegemea wamsifie Waitara? Nenda kwenye kampeni za CCM uwaulize kuhusu Waitara utasikia majibu yake.
 
Acha ukabila wa kijinga tumia akili yako vizuri. Sijawahi kuwaza kuwa majitu mapumbavu kama wewe bado yanaishi duniani.
Unafikiri kwa masaburi unasema nini wewe ushashikishwa ukuta akili yote inafikiria marinda yako kufumuka. Nyumbu wewe nenda katairiwe ndio uongee na wanaume
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom