Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii inaongeza uzito tu au na kunenepesha mwili piaPole sana. Jaribu kutafuta hii dawa ya glibenclamide (glitsol) uwe unakunywa 1/3 ya kidonge cha 5mg. Kidonge kimoja unakigawanya vipande vitatu unakunywa kipande kimoja kabla ya kulala... Huenda kikakusaidia ku gain weight!
View attachment 1173273
mwenzio kakuambia anataka anenepe kwa gharama ndogo, we unamshauri nyama ya kidali , wine na beer, you can't be seriousNyama ni chakula chenye kuongeza uzito haraka, kila mlo wako kula nyama na ikiwezekana nunua nyama ya kidari.
Kula chakula na kilevi iwe wine au beer.
Baada ya siku 28 utupe mrejesho.
we ni ke au meungeambatanisha bac japo na ka photo nyie vimbau mbau ndio ugonywa wangu ajabu ss nikimpta kimbau mbau anakuwa chibonge baada ya muda
HahahaHii huduma ni optional kama utapenda kunenepeshwa mwili ila nyuma ubaki flat is up to wewe, nimetoa tu wazo kwa kuwa mwili unapaswa kunona proportional kwa uwiano sawa!
mwili kama huu ndio mzuri, unaikunja mitoto mibonge na yenye churaSipend hali ya umbaumbauView attachment 1172845
Kuna research Cadbury foundation waliifanya kuhusu umasikini ni nini?mwenzio kakuambia anataka anenepe kwa gharama ndogo, we unamshauri nyama ya kidali , wine na beer, you can't be serious
Hahaha....nyie vibonge ndiyo mnakula hivyo kama nguruwe!!!Ukila matunda inamaana unabalance diet huwezi kunenepa bali utakonda zaidi.
Kunenepa ni kuharibu mfumo
Cha kufanya kula kila kinachonenepesha
Asubuhi kula kiporo cha wali.. mchana ugali mkubwa mboga 7 shushia na soda.. usiku chips/wali/ Nyama na juice ya kutengeneza
Ukipita njiani usisahau kula vitu vidogo vidogo/ michemsho nk
Yani kula iwe first priority
Kikubwa na mno usiwe na mawazo
Hahaha...kwa unavyotembea huwezi kunenepa unatingisha mwili mno so mwili unaji restore. hahahaha kidding
urefu wako na kilo sawa kabisaNaombeni nitoke nje ya mada kidogo. Nini kinakufanya uwe na uzito mkubwa. Mimi Ni mwembamba na Sina kitambi ila Ni mrefu almost 7ft. Nimepima uzito juzi Nina kilo 80. Mara ya mwisho nilikuwa na 76kg. Ni mzani mbovu au Nini??!
Kajibu post namba 156 ila hii ya 143 kapita kama hajasoma..Mkuu hapo kwenye profile picture kama ni wewe....
Nakushauri kufanya ngono mara kwa mara nako kunakondesha
Kaa mbali na wanawake kabisa
sikuizi nmeacha😂Hahaha....nyie vibonge ndiyo mnakula hivyo kama nguruwe!!!
kwan vipi bossHahaha...
Nyie watu bhana.
Utakua umeongeza % ya excess fat mwilini.. ni bora kua na kitambi (subcutaneous fat) kuliko kuwa na fats kwenye abdominal cavity (visceral fat), kumbuka huko kwenye abdominal cavity ndio kuna moyo na organ zingine muhimu.Naombeni nitoke nje ya mada kidogo. Nini kinakufanya uwe na uzito mkubwa. Mimi Ni mwembamba na Sina kitambi ila Ni mrefu almost 7ft. Nimepima uzito juzi Nina kilo 80. Mara ya mwisho nilikuwa na 76kg. Ni mzani mbovu au Nini??!
Sipend hali ya umbaumbauView attachment 1172845