Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,470
- 5,050
Ze more unavyokuwa na kitambi ndo ze more chululu inarudi ndani.Mkuu unene wa nn?
Unene unakaribisha bamia
Maths: Kitambi inversely proportional to chululu.
Ze more unavyokuwa na kitambi ndo ze more chululu inarudi ndani.Mkuu unene wa nn?
Unene unakaribisha bamia
Hahahahaaaa jamaaa unanichekesha kisen...Niwapi huko unakoishi..?? Huko mahali ambapo mtu mwenye kilo 48 analeta fujo
HABARI WAKUU.
Wakubwa kwa Wadogo salamu kwenu
Mimi ni kijana mwenye 28 years..!
Tatzo langu ni uwembamba uliopitiliza natamani walau na mimi niwe na vinyama kidogo. Nakumbuka mwaka jana niliwahi kupima uzito wangu nikawa 48kg uzito wa Jogoo la kienyeji iliniuma sana nilikaa wiki zima nikitafakari hatma ya afya yangu hadi hapo nilipoenda kupima magonjwa yote nikakutwa nipo smart sina tatzo la kiafya!
Nikaamua kujianzishia Dozi ya kula matunda kila baada ya chakula na mara kwa mara hali ambayo ilikuwa inanigalimu kila siku kutumia galama zaidi ya elfu kumi 10,000 kwa ajili ya Kuimalisha Afya yangu pia nilipata ushauri wa kula kitimoto na Bia moja kila siku! Hali ambayo sikuona shida nilikuwa nafanya hivyo hadi kujikuta nakuwa mlevi wa bia, Maana nilikuwa nakunywa bia moja kwa ajili ya Afya ila hatmae nikajikuta nakunywa bia zaidi ya 5 kwa siku maana tabia ya Bia nilikuwa nikinywa moja natamani kuongeza nyingine na nyingine hadi nikajikuta nakuwa mlevi pasipo kukusudia hali hii ilikuwa inanipelekea kukosana na watu wanaonizunguka kila nikinywa pombe nawatambia majirani zangu kuwa hawana hela na kusababisha fujo hadi nyumbani kwangu! Ikabidi nijishauri mwenyewe nakuacha dozi hii kwa sasa situmii tena.
Ila katika kumbukumbu zangu kipindi nafanya haya walau nilianza kuona mabadiliko kidogo ya afya mwilini mwangu nikaanza kutokeza kakitambi kwa mbali na kunenepa shavu na nilipopimwa uzito nilikuwa nimefikisha 60Kg hadi watu walianza kuniambia nimenenepa pasipokujua hiyo hali inaniingiza galama kiasi gani!
Nilikuwa nimeanza kunyanyua kakibanda kangu ila nilisimamisha shughuli ya ujenzi, pesa yote niliokuwa napata katika mihangaiko yangu ikawa inatumika kwa ajili ya kufanyia kile ninachokitamani, baada ya kuacha tena dozi hii kwa sasa nimepururuka vibaya mno jana nimepima uzito nakuta 52kg tu na kila kukicha nazidi kukonda tena!
Nimeamua kuja hapa ili wataalamu mnipe namna ambayo itakuwa si ghali sana ambayo nitatumia ili ninenepe huu ukondefu unaninyima michongo mingi sana!
Atakaeweza kunisaidia nipo tayari kumlipa!
Kuna kipindi nilipima uzito haa, hadi nikajilaumu kwanini nimepima nilipata around 47 daaah. nikaacha kabisa hizo mambo, sasa naona huu uzi umenikumbusha haya mambo, let me try this time.
Huyu sharobaro ataweza kusindilia nyama kweli zaidi ya mishkaki minne
Mimi huyooView attachment 1172843
Kitambo sana hiyo now nipo na maisha yngKumbe Upo udom mzee. Af mbona una mwili mzuri tu unene utakuja wenyewe tafuta pesa tu
Mkuu sihitaji uzito ila nahitaj unene na kakitambi flani iviPole sana. Jaribu kutafuta hii dawa ya glibenclamide (glitsol) uwe unakunywa 1/3 ya kidonge cha 5mg. Kidonge kimoja unakigawanya vipande vitatu unakunywa kipande kimoja kabla ya kulala... Huenda kikakusaidia ku gain weight!
View attachment 1173273
Mkuu sihitaji uzito ila nahitaj unene na kakitambi flani ivi
Kama bado hujapata solution naweza kukusaidia
Tupo weng Mkuu tiririka tu
Michongo gani? Kama ipi kwa mfano?Wanaoitaji picha N.B mahitaji msaada sereously huu wembamba unaninyika michongoView attachment 1172849
Kwangu hauridhishi bdoMbona me naona mwili wako uko poa tu
Huyu nahisi anatafuta ile michongo ya kfiringisana ile ya kile kipindi cha Adam mchomvu sio bure,Maana ktk kazi zote za halali sijawahi kuona sifa ya ukibonge.Vp mkuu ni mchongo gani hujapata kwasababu wewe ni mwembamba? Au kuna dem kakwambia una mkwaza kwa wembamba wako?
Huyu jamaa anazingua dizain flani aisee.Sasa mbona wewe mnene mkuu embu acha masihara halafu shukuru wewe ni mfupi. Sisi ni vimbau mbau halafu ni warefu.