TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Habari wadau!
Hili swala la ukomo wa umri katika suala la ajira binafsi naona litakuja kuwagawa watu wengi hususa kizazi hiki cha sasa.
Ajira zinatolewa unaambiwa applicant must not exceed 30yrs au 35yrs.
Nina uhakika wengi tunamaliza vyuo tukiwa na 23-25yrs jumlisha miaka ya kusugua gaga kitaani unajikuta kila ajira unayoomba hau fit sababu ya vigezo vya umri kuwa mkubwa yaaani kama wachezaji wetu wa kibongo au kiafrika afrika vile jitu kubwa unaambiwa lipo under 20 kumbe lime foji vyeti vya kuzaliwa.
Kiufupi nanusa harufu wimbi la wahitimu wengi na watu kuanza kufoji vyeti vya kuzaliwa na kubadili umri wao siku za usoni baada ya wengi kujikuta hawafit kwenye soko la ajira kwa vigezo vya umri.
Tukifikia huku tunasema degree ime expire vyeti vinakuwa havina tena kazi hapa ni kuviweka tu kwenye frem na kubandika ukutani watoto wako waje kuona kwamba baba alikuwa mtabe shuleni huku ukiendelea kuchapika maisha.
Waziri na naibu wetu wa ajira ni kijana kama sisi kuna mambo inabidi hatusaidie kutusemea kwa waajiri mbali na jitihada ambazo ameonyesha hivi karibuni anatakiwa kwenda extra miles kukemea ubaguzi wa aina mbali mbali maeneo ya kazi maana wanaoumia wengi ni vijana
Au nasema uongo ndugu zangu??