Ukomo wa Toyota Crown Sedan

Gari haina ata mvuto aisee. Ndio nasema bei yake, bora ununue RR utafurahi. Yaani haya LC yanashindanishwa na Vogue ila naona ata Velar tu inaifanya LC ionekane mkusanyiko wa vyuma.
Mpango mzima LC 70 GXL Iwe single cab, Double cab, Troops carrier au wagon. Hizo LC 200 Toyota wao wenyewe wanamaliza production wanatoa LC 300. LC 70 production ipo to stay
 
RR

Range rover

Kwan gari zenye hilo neno zipo ngapi hadi ufikie hatua ya kufananisha na toyota zote🤔
Idadi ya gari duniani sio kigezo cha ku justify price between 2 models kabisa.

Kuna range rover evoque, Velar, Sport, Vogue, Discovery na Defender.
 
Mpango mzima LC 70 GXL Iwe single cab, Double cab au wagon. Hizo LC 200 Toyota wao wenyewe wanamaliza production wanatoa LC 300. LC 70 production ipo to stay
Hio Ambulance haibadiliki sura mda mrefu sana saiv, mnapigwa bei kisa model year tu na sio kingine. Hizo LC 200 na wenzake wanastop production mana wameshatambua kuwa haiewezi kushinda na RR mana TYT wapo nyuma. RR wanavutia kuanzia designs mpaka features.
 
Idadi ya gari duniani sio kigezo cha ku justify price between 2 models kabisa.

Kuna range rover evoque, Velar, Sport, Vogue, Discovery na Defender.

Sio range rover discovery au defender ...zile ni land rover kawaida
 
ahsante mkuu, nimeigoogle naona imekaa kimjini mjini sana sasa hivi sijui kwanini wameamua kuachana na soko la mbuga za wanyama na majeshi
RR ime move to be a luxury brand zaidi... Hio defender mimi naona kama wamejiforce tu labda kwa sababu kuna fans wa defenders ndio mana kama walivo wa LC70.

Wateja wana influence kuifanya kampuni itengeze gari. Kwenye tuning world, watu walikuwa wanasikitika gari kama supra kutoendelezwa, toyota wakawapiga changa watu wao wakatafuta BMW wakaipachika badge ya supra, watu waaaaah! Toyota aliwahi kuwapiga changa wateja wake akawauzia Subaru akaweka badge ya toyota :D
 
Hio Ambulance haibadiliki sura mda mrefu sana saiv, mnapigwa bei kisa model year tu na sio kingine. Hizo LC 200 na wenzake wanastop production mana wameshatambua kuwa haiewezi kushinda na RR mana TYT wapo nyuma. RR wanavutia kuanzia designs mpaka features.
Bado inafanya vizuri sokoni kuliko LR na LC200 pamoja na kuwa sura haibadilishwi na ipo sana sokoni, Hata kwa bei haipishani sana LR top model 2020
 
Sio range rover discovery au defender ...zile ni land rover kawaida
Land rover ni kampuni, izo nyengine ni models. Kama ilivo Toyota ni kampuni hizo nyengine ni models.

Land Rover Range Rover Sport, Land rover range rover vogue, Land rover range rover evoque, Land rover range rover Velar, Land rover Discovery, Land rover defender
 
Bado inafanya vizuri sokoni kuliko LR na LC200 pamoja na kuwa sura haibadilishwi na ipo sana sokoni, Hata kwa bei haipishani sana LR top model 2020
Inafanya vizuri kwenye mauzo kweli kweli, lakini ukweli haubadiliki kuwa watu wanauziwa model year na sio kwamba gari imechange.
 
Sasa si wanafuata uhakika sio kubahatisha
Sasa uhakika huo ndio bei iwe inapandishwa sana kwa kitu kile kile? :D Yaani Toyota auze IST kwa bei sawa na BMW 1 series? Tusitaniane.... IST new model ni bei gani siku izi?
 
Sasa uhakika huo ndio bei iwe inapandishwa sana kwa kitu kile kile? :D Yaani Toyota auze IST kwa bei sawa na BMW 1 series? Tusitaniane.... IST new model ni bei gani siku izi?
Siku zikianza kuonekana huku hizo LR kidogo zitanishawishi
1606157727020.png
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Pamoja na maboresho yote ya Defender 2020 bado hatakuja kufikia mauzo na ubora wa kazi za Toyota LC 70. Yaani LR kapiga hatua kurudi nyuma
1606158284877.png
1606158410562.png

1606158903839.png

1606158937355.png
 
Hio Ambulance haibadiliki sura mda mrefu sana saiv, mnapigwa bei kisa model year tu na sio kingine. Hizo LC 200 na wenzake wanastop production mana wameshatambua kuwa haiewezi kushinda na RR mana TYT wapo nyuma. RR wanavutia kuanzia designs mpaka features.
Mkuu LC 200 na RR ni washindani, sasa huyo LC 200 unayosema hazivutii ndio zinafanya vizuri sokoni na zimeuzwa idadi kubwa kumzidi RR.
 
'Hebu itizame new model land rover defender'

Aisee hio gari ni takataka kabisa from design(shape mbaya kinyamaaa) mpk reliability.

Kuna a/c maarufu huko youtube inaitwa Fast lane car jamaa alinunua hio gari akaenda nayo off-road ya kawaida maana anasema huko alikoenda gari yoyote ile yenye 4wd inaenda,wkt anarudi kwake gari ikamuwashia check engine light kumbuka mpk hapo gari ina Km 270 tu na ina siku mbili tu tangu imenunuliwa,ikabidi ipelekwe kwa dealers kutengenezwa imerudi tena barabarani jamaa anagundua camera za nyuma hazifanyi kazi na kwa US sheria zao kwa sasa ni camera ya nyuma ni lazima ikabidi irudi kwa dealer tena,na anasema mpk muda ule engineers wa LR hawajaweza kutatua tatizo hilo,hawajui shida iko wapi.
Mkuu link hii hapa ambayo ina malalamiko ya new Land Rover Defender.
Hii chombo haitokuwa na maisha nasikia hata injini wametumia aina nyingine ambayo ni mpya.

Hii ikipelekwa njia korofi na za kibabe kama Dakar Rally Route ya South America au Africa km 4000 itarudi imepakiwa kwenye roli.
 
Sawa ndugu yangu, lakini unapouza LC milioni 200 ikiwa na tech ya zamani na mwenzako anauza RR kwa milioni 200 ikiwa na tech ya sasa, wewe wa LC utakuwa unatuchezea sasa. Kwanini usiuze tu kwa bei ya zamani kama zilizopita labda uongeze kidogo tu. Nimesema kuna kipindi BBC walikuwa na pick up ambayo imewekwa gorofani sijui jengo ghorofa ngapi lile labda 10, likawa demolished, gari imetolewa inakwenda. RR ingekuwa ishavurugika kitambo. Tuzungumzie price kwa features ili ku justify pricing ya LC na hasa hasa haya wanayotamba nayo viongozi.
Mkuu hizi LC200 V8 ambazo wanatumia viongozi zina matoleo mengi, na kila toleo lina features tofauti na mwenzake. Kuna matoleo ni full luxury na gari za kazi kazi.

Si Sawa kusema LC100 na LC 200 ni Sawa na technology haijabadilika, vitu vipo vya kisasa kulingana na toleo la LC200 labda useme technology gani Toyota haweki ukilinganisha na Range Rover.
 
Hata hiyo RR Vogue haijafanya maajabu sokoni kama LC 200 kwa ubora na stability field bado LC 200 imefanya vizuri kuliko RR Vogue.
 
Zaidi labda apambanishe LR Discovery na LC 150. Kidogo LR anaweza mmudu Toyota
 
Gari haina ata mvuto aisee. Ndio nasema bei yake, bora ununue RR utafurahi. Yaani haya LC yanashindanishwa na Vogue ila naona ata Velar tu inaifanya LC ionekane mkusanyiko wa vyuma.
Gari bonge nyanya.

Ndo Polepole anajitutumua unaijua V8 wewe kumbe mafi tu.

Kuna wakati watu wananunua Benz, Audi au BMW sio kwamba wanaka heshima, ila hizi gari zimetengenezwa vizuri sana.

Kuna mbuzi mmoja juzi ananiambia Toyota Crown ni mbadala wa Merc Benz S Class. Nilitamani nimkate mbata akafie mbele. Nikamwambia Toyota Crown haingii hata entry model ya C Class ya Benz.
 
Hio Ambulance haibadiliki sura mda mrefu sana saiv, mnapigwa bei kisa model year tu na sio kingine. Hizo LC 200 na wenzake wanastop production mana wameshatambua kuwa haiewezi kushinda na RR mana TYT wapo nyuma. RR wanavutia kuanzia designs mpaka features.
Toyota wanatengeneza magari mabaya sana tena sana.

Sema ni umasikini wetu.

Yani bongo sahivi ukitembea na C Class ya 2015, watu wanageuza shingo. Tupo nyuma sana.
 
Back
Top Bottom