Lodrepublic Member Apr 27, 2014 7 1 Jun 27, 2017 #1 Ndugu wanajukwaa naomba kuelekezwa ni baada ya muda gani huwa ukomo wa form 6 kuomba nafasi za kujiunga na vyuo vikuu nchini
Ndugu wanajukwaa naomba kuelekezwa ni baada ya muda gani huwa ukomo wa form 6 kuomba nafasi za kujiunga na vyuo vikuu nchini
W wizy JF-Expert Member Sep 23, 2016 4,179 10,393 Jun 27, 2017 #2 for last year tcu walitoa deadline bt nw kila chuo kitakuwa na deadline yake.....
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 51,991 69,381 Jun 27, 2017 #3 inategemea na deadline ya mwaka husika mkuu..
msakaa jr JF-Expert Member May 18, 2017 6,509 6,722 Jun 27, 2017 #4 hakuna kikomo labda vigezo vibadilishwe