chivala
JF-Expert Member
- Apr 13, 2021
- 772
- 2,332
Wanajamvi kile kilio chetu cha kupunjwa mda wanaongezi na Mb na GB, mtandao wa Tigo wamekikomesha, hivi bei zao ni sawa na Israel.
View attachment 1768743
View attachment 1768743
huu mzigo wa HALOTEL ndio habari ya mjin! tigo wajiandae kupoteza wateja wengi
Sahivi nacheza Halotel au TTCL basi. Ata kama speed ya kobe, mi sina haraka.huu mzigo wa HALOTEL ndio habari ya mjin! tigo wajiandae kupoteza wateja wengi
Wajiandae Mara ngap...washapoteza sa izi ndo wanajifanya mzigo mpya...mzigo mpya my foothuu mzigo wa HALOTEL ndio habari ya mjin! tigo wajiandae kupoteza wateja wengi
Nimependa avatar yako tuuuWajiandae Mara ngap...washapoteza sa izi ndo wanajifanya mzigo mpya...mzigo mpya my foot
Huku Sisi halotel wabovu, mtandao slow kama konokono
Mtandao gani huoHawa watu wa mtandao usipoweka vocha mda mrefu wanarudisha . Leo asubuhi wamenirudishia kile kifurushi cha 1500 dk 150, sms 100 na 1 gb kwa wiki na nimejiunga.
Tigo mkuuMtandao gani huo
Ila halotel speed ya kobe
Nimependa avatar yako tuu
AsanteeNimependa avatar yako tuuu
Hawa watu wa mtandao usipoweka vocha mda mrefu wanarudisha . Leo asubuhi wamenirudishia kile kifurushi cha 1500 dk 150, sms 100 na 1 gb kwa wiki na nimejiunga.
Israel mtoa roho au?Wanajamvi kile kilio chetu cha kupunjwa mda wanaongezi na Mb na GB, mtandao wa Tigo wamekikomesha, hivi bei zao ni sawa na Israel.View attachment 1767861
Karibu Halotel uoneWanajamvi kile kilio chetu cha kupunjwa mda wanaongezi na Mb na GB, mtandao wa Tigo wamekikomesha, hivi bei zao ni sawa na Israel.View attachment 1767861
AhahahaSahivi nacheza Halotel au TTCL basi. Ata kama speed ya kobe, mi sina haraka.
Hata Mimi nakwambia asanteHata mi nimeipenda.
Speed sasaWanajamvi kile kilio chetu cha kupunjwa mda wanaongezi na Mb na GB, mtandao wa Tigo wamekikomesha, hivi bei zao ni sawa na Israel.View attachment 1767861