Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,923
Hatimaye harakati za kujikomboa zinaingia Same. Watu wa Same wanahitaji sana elimu ya uraia kwani wengi bado wana mawazo yale yale ya chama kimoja. Haya nimeyatoa kutokana na utafiti wangu niliofanya wakati nilipokuwa nawahimiza umuhimu wa kupiga kura. Pamoja na kuwa na maisha magumu sana, wao bado hawakuona chama mbadala ambacho kingewaletea mabadiliko. Wamepewa imani potofu kuwa vyama vya upinzani vinaleta fujo. Nilipowauliza kuwa ni fujo zipi ambazo vyama vya upinzani vimeleta, hawakuweza kunipa mfano hata mmoja.
Nawatakia kila la heri kila la heri katika harakati za kuwakomboa watu wa Same, 'Wachina wa Afrika', kama Mwl. Nyerere alivyokua anawaita.
Nawatakia kila la heri kila la heri katika harakati za kuwakomboa watu wa Same, 'Wachina wa Afrika', kama Mwl. Nyerere alivyokua anawaita.