Ukombozi Ukombozi Umeingia Tanzania. CCM kushikwa pabaya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukombozi Ukombozi Umeingia Tanzania. CCM kushikwa pabaya.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Logo, Nov 9, 2011.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona wanamagamba wamefuta post yangu!!! Naapa lazima dawa itumike kushughulikia suala la amani Arusha. Nitatumia nguvu zangu mwenyewe, Mkuu wa Polisi wilaya, Mkuu wa mkoa, Jaji Arusha kaeni mkao wa kula leo lazima nakula nanyinyi meza moja bila kuniona, Tumechoka1
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  kazi njema mkuu!
   
 3. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Bro. vipi?
  Mlienda Nigeria na EL nini?
  Ila inabidi ujipange kwelikweli, maana mambo hayo kwa magamba ndio kama uwanja wa nyumbani.
  Si unakumbuka pale mjengoni!
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,587
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  Kwa mwendo huu tunaokwenda sidhani kama tutafika 2015 kabla ya kutokea machafuko makubwa nchini, thanks to Msanii na chama chake cha Magamba.
   
 5. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haya maccm yanajipanga sasa kukabiliana na nguvu ya umma 2015
   
Loading...