Ukombozi kutoka kwenye Makucha ya Wakombozi Wetu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukombozi kutoka kwenye Makucha ya Wakombozi Wetu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakalende, Apr 20, 2008.

 1. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2008
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Wakati tukishuhudia sarakasi ya demokrasia huko Zimbabwe; tunaona mifano ya viongozi waliojito muhanga kuzikomboa nchi zao na kujaribu kung'ang'ania madarakani hata pale wananchi wanapowachoka. Kizazi cha viongozi wa aina hii Africa ni kama Comrade Mugabe, Dosantos, Museveni, n.k.

  Jambo wanalotakiwa kulifahamu ni kuwa wao ni mashujaa wa ukombozi na uhuru lakini vita ya uchumi katika dunia ya leo si fani yao.


  [​IMG]
   
Loading...