Ukombozi daima: Kongamano la katiba mpya tanzania 2011 - udsm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukombozi daima: Kongamano la katiba mpya tanzania 2011 - udsm

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Not_Yet_Uhuru, Jan 5, 2011.

 1. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wapambanaji; Ukombozi unaendelea kutenda kazi na nchi lazima ikombolewe kutoka ktk kada na ngazi zote, na hasa kupitia Katiba mpya!  Kwa hili, Nguvu ya Umma itashida daima. Kongamano hili la Katiba UDSM, ni muhimu sana kwa wale wanaoweza kuhudhuria na kuchangia ili kujenda dira, uthabiti na mwelekeo halisi wa Katiba yetu mpya kwa Taifa letu jipya. Vinara walio weledi kwa siasa za kweli na zenye tija na dira (Jen Ulimwengu na Prof Issa Shivji) wataitekeleza kazi ya Umma ktk Kongamano hili, na kuwajengea wanachi uelewa zaidi wa kile kitakachofuata ktk kuandaa Katiba Mpya ya Taifa letu jipya. Tunawafahamu vyema hawa na uwezo wao uliotukuka ktk uchambuzi wa haki, hoja na kweli halisi za siasa ambavyo ni msingi wa Katiba yetu, tusikose kuwasikiliza au kushiriki pale inapowezekana. Taarifa zaidi ipo ktk tangazo la Kongamano chini:
  KONGAMANO LA KATIBA MPYA TANZANIA 2011
  JUMUIYA YA WANATAALUMA CHUO KIKUU CHA
  DAR ES SALAAM (UDASA)


  inawaletea:

  KONGAMANO LA KATIBA

  MADA KUU:

  MCHAKATO NA MAUDHUI YA KATIBA MPYA

  WAZUNGUMZAJI WAKUU:

  1. PROFESA ISSA SHIVJI
  2. NDG JENERALI ULIMWENGU

  TAREHE: JUMAMOSI, 15 JANUARI 2011
  UKUMBI: NKRUMAH, CHUO KIKUU CHA DSM
  MUDA: SAA 4:00 ASUBUHI HADI SAA 8:00 MCHANA

  WOTE MNAKARIBISHWA
   
Loading...