- Thread starter
- #21
DuhKwa sasa na yenyewe ni tawi tu la ccm kama ilivyo kwa vyama vya wafanyakazi! Kote huko wameweka vibaraka wao. Hivyo haina faida yoyote ile.
Na kama huamini, subiri uone kama watatoa hata tamko tu la kulaani huu uhuni tunao fanyiwa Watanzania.