Ukoloni unarudi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukoloni unarudi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Comi, Jun 19, 2012.

 1. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Kwa mara nyingine tanzania imepokea faru kutoka nje, wakwanza walitokea afrika ya kusini na sasa tumlletewa kutoka uingereza,

  kiuhalisia faru wote walitoka hapa tz wakati wa ukoloni,wanachofanya sasa hivi kuwarudisha ili baadae waombe kibali cha kuwamonitor hao faru ambapo ni lazima wapate na maeneo ambayo wataishi, mfano halisi ni sasakwa (VIP) mtanzania haruhisiwi kwenda huko isipokuwa wazungu na rais na mawaziri kadhaa, mda huu wazungu ndiyo wanahodhi ardhi katika madini tofauti na wazawa.

  Arusha kuna waholanzi wamehodhi zaidi ya hekta 10 na wanajenga nyumba zao pasiposhaka na hii yote ni kutokana na kuwa tegemezi.

  ""UKIWA MMILIKI WA NYUMBA NA KILA SIKU UNAMWOMBA MPANGAJI WAKO FEDHA MWISHO NYUMBA ITAKUWA NI YA MPANGAJI KUTOKANA NA DHAMANI YA FEDHA ANAYOKUDAI""
   
 2. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Ccm wanauza nchi!
   
 3. t

  tabu kuishi JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hiyo ya sasakwa acha inaumiza mno,halafu cha ajabu watz wenyewe kwa wenyewe pale wananyanyasana,wenye position nzuri wanajkiona kama na wao ni wawekwzaji,ni tabia inayoudhi sana,majungu kila kukicha watu wafukuzwa kazi kama mbwa,INAUMA
   
Loading...