Ukoloni umerudi upya

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
4,040
8,895
Kwa sheria hizi ambazo kikundi cha watu wachache wanaunda ili kukandamiza waafrika wenzao ni bora tu wakoloni weupe warudi.

Hawa watu hawana aibu, wanaturudisha miaka ya 1950/60 tuanze kudai uhuru upya.
IMG_20200731_162855.jpg
IMG_20200731_163004.jpg


Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Kuna haja ya kuwa na rais kijana <40 maana kuna sheria nyingine hata unashindwa kuelewa waliozitunga kama wako 2020, hebu eti fikiria kuna sheria inayowataka watu kisajili website/blogs zao hata kama zinatumika kuelemisha jamii juu ya mambo ya msingi kama vile afya nk.

Aibu hii sasa kuishi kwenye nchi yenye sheria za namna hii
 
Wanaotunga hivi vijisheria sijui huwa wanalenga nini?
Wanalenga kupiga makofi zile meza za bungeni. Ni mpaka WANANCHI wajue umuhimu na kazi ya mbunge awapo bungeni ndo huu ushenzi utaisha. HEMU FIKILIA LUSINDE YUPO BUNGENI HIYO SHERIA ANAACHAJE KUIPITISHA.
 
Back
Top Bottom