Uko wapi zulfa haroun

Nyangaramera

Member
Jan 19, 2017
59
43
Jamani namtafuta uyu dada toka alipohama arusha secondary mwaka 2002 ckuweza kumpata tena,though kwenye mitandao ya kijamii alijiita zulfa r ahmed bt hizo account ziko inactive.yeyote mwenye mawasiliano nae plz ani pm
 
Umenikumbusha kidemu changu cha shule ya msingi zulfa , ukimpata pia zulfa ni pm maana uenda akawa yy
 
Back
Top Bottom