Uko wapi W.J.Malecela?

Kapotelea wapi?hata kwa ki mzee wa masauti ya umeme hayupo.labda kabanwa na shughuli za kitaifa
 
Mara ya Mwisho article yake ilikuwa wakati wa Mkutano wa Viongozi wa CCM aliandika kuwa CHENGE amefukuzwa Uwanachama kwenye Mkutano huo

Lakini baada ya Mkutano kuisha hayakutokea hayo... Na habari toka Mkutanoni zikaanza kusambazwa kuwa Baba yake Mzee Malecele ndiye aliyekuwa anataka hayo na sio UONGOZI WOTE WA CCM

Inaonyesha baada ya hayo Ameamua kupumzika...
 
Maisha ya Marekani yamemuwia magumu,,,labda hana hela ya kulipia bundle!
 
WJ malechela kwenye JF politics. forum amabayo inakuwa moderated . Ni Diwani au mwenyekiti wa mtaa wa wapi huyu?
 
Ukimya huu si wa kawaida, ujue kishaitwa na kukabidhiwa majukumu, maana kujiandaa kuchukua jimbo huwezi kukurupuka tu kutoka New York City, aka Mount Vernon, hapa budi kupewa kaofisi kuzoea mazingira na 2015 itakapoanza mikikimiki atakuwa kishazoea mazingira aloacha angali young.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom