Uko wapi uzalendo wetu vijana ikiwa mnakubali kuuza nchi kwa kuchumia matumbo yenu!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uko wapi uzalendo wetu vijana ikiwa mnakubali kuuza nchi kwa kuchumia matumbo yenu!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sammosses, Jul 28, 2012.

 1. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Shame on you,shame on you.Unexpected matter amongst unexpected guys where are we leading for?Nimekuwa mara nyingi nikiumia sana moyo kutokana na tuhuma nyingi zinapo angukia kwa vijana hasa katika suala la kushindwa kiuongozi.Ndiyo maana nimekuwa muumini mzuri kupinga umri wa urais kuwa chini ya miaka 40.

  Wakati bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania enzi ya mfumo wa chama kimoja ilikuwa nadra sana kusikia wazee wale(wabunge) kutuhumiwa kula rushwa tofauti na sasa au kwa kuwa tu uwazi hakuwa kama hivi sasa.

  Cha ajabu na kweli yanayo jiri leo na yanazidi kukithiri ni kitendo cha wawakilishi wetu(wabunge) kuhusishwa na rushwa ili kuiuza nchi yetu kwa ajili ya kuchumia matumbo yao.Mbaya zaidi watuhumiwa hao wamekuwa vinara wa kujipambanua kuwa watetezi wa wanyonge.

  Cha kushangaza miongoni mwao wapo vijana ambao tuliwaamini kutokana na utendaji wao wa kutukuka lakini leo hii wame tuangusha,tunategemea nini.Kwanini vijana wenzetu hampendi kutembea ndani ya maneno yenu.Ikiwa mnakubali kuhongwa kwa ajili ya kuzorotesha maendeleo na kudumaza uchumi wa nchi,je mkipewa nchi si mtatuuza sisi pamoja na mali zetu!

  Napozungumzia kudumaza uchumi ni kutokana na kukubali kuhongwa ili kuzidi kuusimika uongozi unaopenda nchi iwe TANZAGIZA kwa strategic za kubumba wakati zinapingana na hali halisi.

  Niliwahi kuzungumza huko siku za nyuma kuwa bunge letu linatakiwa livunjwe kutokana na kukosa uzalendo wa kuwa simamia na kuwawakilisha wananchi wake,leo hii yamedhihirika.Pia niliwahi kutuma ujumbe kupitia JF kuitaka kamati ya POAC ya mh.Zitto kufuatilia ufisadi unaofanywa na viongozi ndani ya Tanesco kuhusiana na ununuzi holela wa matairi pamoja na rim zake kuwea hazikidhi hali ya kitanzania,kamati ilikaa kimya kumbe ikijua kuna maslahi ya wajumbe ndani ya Tanesco.


  Dr Slaa aliwahi kusema"unapo mnyooshea mwenzako kidole lazima uangalie usafi wako kwanza ndipo unyooshe kidole"Kwa hili la leo ndani ya bunge tunataka ripoti iwe wazi,kwani hata kiti cha Spika kimekuwa kinatumika vibaya katika kufumbia macho ubaya wa wajumbe wake.

  Mwl Nyerere aliwahi kusema"mke wa Caeser hatakiwi kuwa na doa la ubaya"Kwa falsafa hii ya mwalimu mh.Spika chini ya bunge lake ameshindwa kukidhi hadhi ya kiti hicho na bunge lake kutuhumiwa kuhongwa kuliko mabunge yote yaliyopita.Kwa mantiki hiyo basi naye anatakiwa kujiuzuru kisiasa japokuwa yeye hajahongwa ila bunge lake kupitia kamati ya kudumu ya ya hesabu za serikali(POAC) imehongwa.

  Na mwisho natoa wito kwa vijana wenzetu pamoja na wana JF kuwafunda vijana wenzetu ili waweze kuangalia kwanza maslahi ya taifa na njaa baadae.Njaa ni kweli zinauma lakini ukiziendekeza unaewza kuzivalia kibwaya.
   
 2. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Well said sammosses,hata sijui hii nchi inakwenda wapi,kama mhimili wa mwisho wa kurekebisha mihimili mingine,bunge,nalo limeoza kwa rushwa,mpaka wabunge wengine wanafikishwa mahakamani,am just lost to be honest
   
 3. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nafikiri tujaribu kuangalia kama kuna mtu ana jua sheria ama kanuni ya kutokuwa na imani na bunge atuwekee hapa ili tuweze kufanikisha tunawang'oa wabunge maslahi ili tuweze kuunda bunge kama chombo cha kuwatetea wanyonge
   
 4. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Its true that sometimes we fail to understand what our representatives are doing in the parliament. Its also hard to believe that what we expected from them is quite different from what they are doing now. We believed in them and entrusted all our faith to them to say on behalf of us and present our problems in all aspects ranging from social, political, economic and welfare to the government, but thing are opposite, they are there just for their sake and for the betterment of their Political parties, their families and but enough for their stomach. Youths are no long the dream and the future of this country. They are doing what we didn't send them to do. Things are really discouraging and there is no more faith on them. we have lost another five years!!!! From the Government, Parliament and the judiciary, things are not clear and there are claims and blames now and then, where will we say that we have won? In which sector we are capable of saying that we have at least succeeded? Shame on all Tanzanians who put this kind of GOVERNMENT on POWER!!!! Thing will never change unless we change the whole GOVERNMENT, the ROOTS of the SYSTEMS that have led us into TOTAL POVERTY....this is not possible under CCM.....I'm sure THINGS WILL BE THE SAME UNDER THE SAME PARTY...CCM.....!!!
   
 5. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,109
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  mimi nadhani issue siyo wazee au vijana na pia sikubaliani na hoja ya vijana kupewa urais napenda tuchague rais bila kujali ni kijana au mzee ili mradi anakidhi vigezo tulivyoweka kigezo namba moja ni kujali maslahi ya nchi yetu tatizo tulilonalo na bado litaendelea kutusumbua ni mmonyoko wa maadili na limekuwa kubwa baada ya kuvunjwa azimiio la arusha tusipotenganisha uongozi na maslahi binafsi tutakuwa watu wa kutafuta sababu mara vijana,wazee,udini,ukabila
   
 6. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Rais wetu amekuwa mara nyingi is out of his talks,ana weza sema lazima tutenganishe siasa na biashara but he failed to acknowledge things from his tips of mouth is real his desire.We discouraged with all things going on under an umbrella of system.But the main plan is to eliminate locally party by using ballot paper for the coming election.Hatuwezi kuwa watu wakulalamika kila siku.

  Pia sipendi kuamini vijana ni taifa la kesho,though they were not capable to show their streangth of feelings if they can.Obama alipingia ikulu ya Marekani alisema movement for change,yes we can by cooperation amongst us,lakini kwetu wabunge wetu vijana wameshindwa kuonyesha integrity na kukubali kutumika kama chombo cha kuzidi kuwanufaisha mafisadi,wapi tunakwenda with this dump country.
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Wapo Wabunge kama wanne vijana zitto yumo na mwenzie December Marope ambao wana ukwasi wa kutisha. Huyo mwingine ambaye hakupewa kura hata moja aana miradi mikubwa sana ndani ya TANESCO ambayo inafahamika. Amewahi kunukuliwa na wafanyakazi wa TANESCO akiomba tenda akiwa mwenyekiti wa kamati fulani la bunge, kwamba angeleta wawekezaji toka India. Wanaokabiliwa na tuhuma nzito ni wale waliochukua uongozi mwezi uliopita.

  Wale waliotangulia wako wapi? Waandishi tulijaribu na kupigwa STOP hata kabla ya kuanza. Mtu huyu ana madudu makubwa sana lakini Kila mtu Kimya. Kulikoni?

  Sitaji jina kwa sabau thread yangu itaondolewa dakika 20 zijazo, wote mnamjua tu.
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nani huyo? Januari Makamba?
   
 9. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  we mtaje tu mkuu jina lake km ni february marope au december manyuzi watu wajue.
   
 10. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,090
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  kazi ipo
   
 11. G

  GWAMWAJA Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  why hide? speak out! watanzania sasa wanataka ukweli tu! je kweli zito anamiliki raia mwema!
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Tiririkaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
   
 13. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kumbukeni huyu MaRope alichukua dollar million moja za mzungu kupitia kwa dada yake zilizomuwezesha kumuondoa Shellukindo mjengoni; na ahadi aliyotoa kwa yule mzungu ni kuwa angeupata uwaziri wa nishati na madini na hapo angerudisha zile fedha!!!

  Hakufaninikiwa kupata uwaziri wa Nishati lakini alifanikiwa kupata uenyekiti wa kamati ya bunge ya Nishati na madini; Je aliitumia kamati ille kujipatia fedha zikiwemo zile za yule mzungu na kama ni hivyo inawezekana baadhi ya fedha hizo zilitoka TANESCO?

  Tafakali.
   
 14. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Kaaaazi kwelikweli!!!!!

  Ina maana hakuna msafi hata mmoja!!!!!!!!!!!!!!!  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 15. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni Bora Tanzania ingeendelea kutawaliwa na Wakoloni kuliko huu Uhuru wa kuibiana huu tunaouona sasa. Kama kila kitu kinaibiwa si bora tungeendelea kutawaliwa! Inatisha sana.
   
 16. j

  jigoku JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu Escobar umenena vema hata mimi nilikuwa najiuliza sana huu uswaiba wa February ma-rope na nyepesi ulitoka wapi na ulikolezwa na kitu gani?mbona huko nyuma hatukuwahi kuusikia?ghafla tulikuja kuona they are close friend,anyway si hoja lakini hapa kwa taarfia hii nadhani kuna uhusiano wa kifisadi kama mkuu mmoja anavyosema,tena ni mwandishi kwa madai yake kwamba alijaribu kuhoji ukwasi wa february wakapigwa stop,nadhani vijana hawa ni hatari,kwa kweli natamani nitangaze kuwa hawa madogo ni janga la taifa.
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hakuna haja ya kulitegemea BUNGE
   
 18. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Du !!!! vijana tumekosa uadilifu na kwa mtindo huu tunapoteza mvuto kwa jamii yetu na kwa namna fulani ile kauli kuwa vijana ni viongozi taifa la kesho ilikuwa na maana sana. unaweza ona siyo tu february na nyepesi wapo pia akina laini
   
 19. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Nasikitika sana
   
 20. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Nyepezi kabwela na februari marope ni noma kwa ufisadi
   
Loading...