Jpm sio mtakatifu aseeeee unagusa tabaka lingineMwenyekiti alishawaita wanafiki kama wewe "ng'ombe aliyekatwa mkia" na alikuwa sahihi! Hilo ndio jambo pekee ninalokubaliana na mtakatifu JPM kwa kuwafananisha wanafiki wa design yako na ng'ombe aliyekatwa mkia!
Taja hayo matusi!Wapinzani please tubadilike. Siyo mpaka tutume lugha za matusi kumkosoa mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshmiwa Mpendazoe, shikamoo!! Kwa sasa nitajikita katika maana ya uzalendo.
Pengine baadae nitarudi kujibu hoja zako zingine. Nimeona msingi wa hoja yako ipo kwenye neno "uzalendo" hadi umehoji uzalendo wa Tundu Lissu (TL) uko wapi.
Nijuavyo mimi uzalendo ni mapenzi ya kujitoa, kuunga mkono na kuilinda nchi yako;utii kwa taifa lako (i.e devoted love, support, and defense of one's country; national loyalty). Hapa hakuna maneno mawili "rais" na "chama cha siasa".
Kwa sababu binfasi, sababu za kisiasa, sababu za kutetea maslahi binafsi, watanzania wengi tena wengi wao ni wasomi wamekuwa wakipotosha maana ya neno "uzalendo". Wao kwenye neon "taifa" au "nchi" wanaweka neon "rais" kwenye definition ya neon uzalendo.
Mark Twain alipata kusema "patriotism is supporting your country all the time, and your government when it deserves it". Pia Edward Abbey alipata kusema "A patriot must always be ready to defend his country against his government".
Hapa utaona utofauti kati ya nini mzalendo anapaswa kutetea; Je ni serikali (including rais) au Je ni nchi/taifa?
Serikali ni watu ambao wapo wema na wabaya lakini nchi/taifa lina misingi na miiko yake ikiwemo demokrasia, utawala wa sheria, umoja, huduma bora za kijamii, amani nk. Je, anayoyafanya TL hata kuhoji uzalendo wake ana-defend nini? Unachofanya wewe Mpendazoe, JPM nk mna-defend nini?
Uzalendo ni "NDIYOOOOO" kwa kila afanyalo Rais hata kama linavunja msingi na mwiko wa taifa letu?
Uzalendo ni kuunga mkono chochote kilicho chema kwa taifa regardless kimefamywa na nani? Kinachopaswa kuungwa mkono ni MTU au KITENDO?
Nimekuelewa sana!!Nijuavyo mimi uzalendo ni mapenzi ya kujitoa, kuunga mkono na kuilinda nchi yako;utii kwa taifa lako (i.e devoted love, support, and defense of one's country; national loyalty). Hapa hakuna maneno mawili "rais" na "chama cha siasa".
Wewe ni punguani na una upungufu wa kiakili. Huwezi kumlinganisha mtu mwenye matatizo ya kiakili kama lisu na Yesu Kristu. Tundu Lisu anahitaji msaada wa kiakili kwani alishakula hela za watu sasa anaogopa watamuua iwapo hatajitutumua kuonesha anafanya kazi yao
Moarobaini? Angejibu hoja badala ya kurusha ngumi! Mngekuwa na hoja tungekuwa mbali, hoja yenu kuu ni Kamata weka ndani! Mna hoja gani zaidi ya vihoja? Mtu mwenye Akili hatumii mabavu, hutumia Akili! Hii ndiyo tofauti yetu nanyi, kila kitu mnakimbilia Dolla! Hopeless kabisa! Msingekuwa waoga mngejibu hoja, mngewaruhusu wenzenu wafanye Siasa kama mnavyofanya nyie!Wameishiwa hoja wamechanganyikiwa na kutapatapa.
JPM muarobaini wa wapinzani.
Mkuu usishangae hata hapa ukiambiwa umetukana. Yaani kwao neno lolote ambalo halimsifii mtukufu wao ni tusi.Ametukanwa nani?! Mbona uelewa watu tunatofautiana hivi?!
Hoja kwa hoja
Cairo's
Hii propaganda haiuzi hata kwa Bei ya Tshs 4! Sema CCM mnamchukia, na hii ni kwa sababu from top to bottom uwezo wenu wa kuona ni mwisho wa pua na matumbo yenu! For those who thinks of 1000 years ahead mnawaona vituko! Poleni saaana!Kwa taarifa yako, huyu mnafiki kwa sasa anachukiwa sana na watanzania, kila mtanzania anajua jinsi anavyotumika na wazungu.
your name betrays you!MANENO YA FRED MPENDAZOE NI MAZITO MNO, TUNDU LISSU NI JANGA LA TAIFA
Huyu kiongozi wa sasa angetawala kabla ya ukoloni angeeleweka,l lakini si leo ambapo kila mtanzania anazijua haki zake!!Mkuu usishangae hata hapa ukiambiwa umetukana. Yaani kwao neno lolote ambalo halimsifii mtukufu wao ni tusi.
Wamekariri tu, huoni hata huyo mtu mzima naye anaimba huo wimbo "matusi". Hoja kwao ikiwa moto ni matusi.Hebu yaandike hapa hayo matusi ili tukubaliane na hoja yako.
Nadhani hii post yako inaweza kabisa kuhitimisha huu mjadala wa uzalendo. Umeeleweka mkuu.Sikuzote nasema nikisikia neno uzalendo likitumiwa na wanasiasa ujue kuna mtu ata kaangwa na bahati mbaya wengi wao hawajui au wanajifanya kutokujua maana ya uzalendo. Zama hizi usipomuunga mkono mheshimiwa basi wewe si mzalendo, umelipwa na "mabwana" zako, una abudu wazungu etc, halafu hao hao mabwana, wazungu, ndotunawalilia watusaidie kila siku kwa hili na lile. Wazalendo ni wale wanaotaka mtu atawale daima, kwa jina la Tanzania (wenyewe wanaita nia njema)-afanye atakalo (the end justifies the means).