Uko wapi utamu wa mke wa mtu? Jamaa nimemshauri hataki kuacha

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
4,809
2,000
Ndugu yangu huyu ni mwaka na nusu sasa anadunda na mke wa mtu. Mwaka jana nikamshauri amwache mara moja,akakubali ila akaendelea kwa kificho.

Siku ya valentine day akampost kidogo whatsapp halafu akafuta. Ikabidi nimuweke kikao cha kishikaji na washkaji. Tukampa risala nzito,kumbe alivyotoka pale wakaenda chocho na yule mke wa mtu wakafanya tendo. Wakati wa tendo jamaa akamchana yule dada kwamba mimi namshauri amuache ila yeye hayuko tayari.

Kesho yake yule dada akatuma sms akaniambia kama naona ndugu yangu anafaidi basi na mimi anitafutie mke wa mtu. Sikumjibu...badae akaandika au nataka mimi ndio namtaka yule ndugu yangu.

Kitendo kile kiliniuma sana,nilidhalilika sana.

Mume wa yule dada alikuwa masomoni alikuwa akija mara moja moja. Ni jamaa niliwahi kufanya naye kazi. Sasa juzi kati nikakutana naye anatamba mke wake amemshauri arudi tena shule akachukue masters kabisa amalize kila kitu

Dadeki jamaa jinga sana. Lakini najiuliza wake za watu wana utamu gani?
Nina kisa kilichotokea mm mwenyewe juu ya haya mambo. Hakika kimeniachia mfadhaiko mkubwa sana kwenye moyo wangu.
Nami nilikuwa naambiwa najidai hamnazo. Kilichokuja kunitokea ni kibaya sana. Japo jamaa hawakunifanyia mabaya lakini nilihisi kuwa mkosefu sana. Yule dada alikuwa kichwa maji kweli. Natamani kuandika ila acha niache.
Mwambie amwache hugo mdada
 

FredMaria

Member
Oct 2, 2020
53
125
Hahahaha kwamba aludi Tena amalize na masters kabisaaa😄😄😀

Acha ajigongee tu sas Kam mme wake mwenyewe zumbukuku anaonyeshwa asome pale yey anasoma kidore
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom