Hahaha mtu anakuona unafyetua matofali anakuuliza "naona unafyetua matofali bana"Mbona swali jepesi! Mi huwa nawajibu fundi chupi.
Wapo wanaokela anakukuta unakula anakuuliza unakula? Wa hivi unawajibu hapana nafanya mazoezi.
umetishaSiku nyingine wakikuuliza waambie nipo usalama Wa taifa, Kama utakua mchafu mchafu yaani choka mbaya
Wajibu nipo kwenye hali hii kimkakati kwa hiyo kua mbali na mimi.
Na usimwambie mtu yeyote iwe siri yako