Uko wapi siku hizi?; Swali linalotukera vijana ambao hatujafanikiwa na tusio na kazi!

Ni swali rahisi lenye jibu rahisi,
"Nipo Mochwari ya Mloganzila nashughulika na wafu, ukihitaji huduma unakaribishwa"

Sidhani kama atahitaji details zaidi.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Back
Top Bottom