Uko kwenye kundi gani kati ya haya? Kwa wewe mwenye ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uko kwenye kundi gani kati ya haya? Kwa wewe mwenye ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Latifaa, Jun 3, 2012.

 1. Latifaa

  Latifaa JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 474
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  kwenye ndoa kuna makundi kama 5:
  1. Walioolewa
  2. Waliooana
  3. Wanaolazimisha ndoa
  4. Waliooa wanaume
  5. Wanaotumikia ndoa
  haya makundi ni ya wanawake ila wanaume pia
  mmeguswa.

  Hawa watu hawafanani hata kidogo japo wote ni wanandoa.
  1. Walioolewa: hawa wana wanaume wanaojielewa wako wapi na wanafanya nini na wanaelewa nafasi yao
  kwenye familia na wamesimamia nafasi zao bíla kutetereka na hawasaidiwi nje, nyumba zao zina msimamo na hawayumbi.
  Kwamfn. Mwanaume anafanya majukumu yake bila kutega, kama kulisha familia, kutoa adaya shule, kulipa bili
  zote, hela ya saluni ya mama, zawadi kwa mama na watoto, mafanikio yakitokea anajenga nyumba anafungua
  miradi nk. Hapelekwipelekwi na mkewe na siku mkewe akimletea zakuleta anarudi sha kwao.
  2. Waliooana: hapa ngoma droo, wife akiwa na hela anafanya maendeleo sawa na baba, unakuta baba ana biashara yake na mama ana yake kila mtu anajijua alipopata hela, muda wa kurudi home kila mtu anarudi anavyotaka na haulizwi, hapa mfumo dume hakuna chochote mnachonunua mnachanga
  sauti kati ya baba na mama zimelingana kila mtu na jeuri yake, swala la mapenzi ni makubaliano, kuzaa makubaliano , mwanamke hafukuzwi hapa ataakikosa wala0kunyanyaswa labda
  mtengane kabisa, ubabe kwakila mtu sio jambo la ajabu, ukiona hiyo hali jua hujaoa wala kuolewa hapo bali mmeoana

  hayo yaliyobaki nitamalizia kesho namba 3-5.

  Usingizi wakuu
   
 2. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kundi langu halipo hapo,hebu ongezea kundi la sita la kulelewa(ndio mm)
   
 3. mito

  mito JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,613
  Likes Received: 1,992
  Trophy Points: 280
  Sawa tunasubiri makundi ya kesho, ila usisahau kuweka na lile kundi alilohalalisha obama
   
 4. Latifaa

  Latifaa JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 474
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  tulia kesho utajijua uko wapi, usiku mwema
   
 5. R

  Rubesha Kipesha Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Yummy, lifafanue kidogo hilo kundi la kulelewa kwa manufaa ya wanajamvi.
   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,277
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Kumbe na wewe umeolewa/oana (whatever)? Mi kundi langu halipo hapo. Si unajua makundi hayawezi kuwa universal
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  i see. . .
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,708
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Kuna classification za ndoa pia? Kha!
  Na za wachumba ndo zipi, tafadhali ndugu mwandishi..
   
 10. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  i hope she is talking from experience....
   
 11. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Latifaa, Bado hujaamka ? tunasubiri mwendelezo.
   
 12. Latifaa

  Latifaa JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 474
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  usijali, tulia kwanza narudi
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo ni vibaya kuwa kundini?
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,891
  Likes Received: 23,521
  Trophy Points: 280
  Hivi leo ni jumangapi vile?
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Hakunaga.....,,
   
 16. Latifaa

  Latifaa JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 474
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  sio vibaya kuwa kundini ila sio mbaya kama utatujuza
  wewe kundi lako lipi?
   
Loading...