Ukizoea chabo bana, inakuwa hivi.....

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Kutongoza au kutongozwa ni elimu (art), kiasi kwamba kuna watu hawana hiyo (art) wanapata tabu sana kumjulisha mwenza kwamba anamhitaji, mbinu nyingi hutumika kujiridhisha tamaa ya mwili mojawapo ikiwa ni kupiga chabo.
 
Attachments

  • si kila unavyodhani ndivyo.jpg
    si kila unavyodhani ndivyo.jpg
    58.5 KB · Views: 1,461
Kutongoza au kutongozwa ni elimu (art), kiasi kwamba kuna watu hawana hiyo (art) wanapata tabu sana kumjulisha mwenza kwamba anamhitaji, mbinu nyingi hutumika kujiridhisha tamaa ya mwili mojawapo ikiwa ni kupiga chabo.

huyu anatafuta ushahidi wa zinaa, for huddud to apply
 
Akatoe msaada wa kukibandua kibao :A S-alert1: ha ha haaaaaaa!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom