Ukizoe mchemsho...

Ngoshwe unamaanisha nini unaposema 'mchemsho'? sijaelewa.

Tazama picha vizuri utaona kashika wo wo la matron!! Pia harusi yenyewe shabby, mke hajapendeza kabisa. Sijui alilazimkishiwa zungu hili? Au ndo zile za kuwaoa dada zetu kimtindo? Au pengine ni makaratasi yalikuwa yanatafutwa!! Huyu bi harusi anaonekana kama ngozi ya kiafirka vile au ni macho yangu?

 
Atakuwa amezoea mkushikashika kila mijanamike aliye karibu yake hata vichangudoa
 
Ngoshwe unamaanisha nini unaposema 'mchemsho'? sijaelewa.

Kaka huoni kiganja hicho kilipotua?...kunani huko kwenye "semi" kwa mtu aliezoea vya kukaanga?.
Huwa pengine sielewe ni kwanini wajukuu wa Adamu wengi hata kama hawatumii eneo husika, huwa wanapenda tu kugusa kama huyo jamaa , sikjui ipo raha gani ukiweka mkono juu ya hicho kiungo cha kukalia cha Mjuu wa Eva/Hawa!!!
 
Hhahahahaaaaaaaaaaaa jamaa kaona mama hana kishuzi akakitamani cha mpambe, kazi kweli kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom