Ukizini una nyongwa

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
936075_517075258359236_1014984784_n.jpg

Hawa ni raia watano wa Yemen wamepatikana na hatia ya kuzini na wanawake wa Saudia Arabia hukumu yake ndo hiyo majina yao ni Khaled, Adel, Qasim Saraa, Saif Ali Al Sahari na Khaled Showie Al Sahari.

Sasa wenzangu wanao shabikia Mahakama ya Kadhi au mambo Sharia hii adhabu itakuwepo? Kama ndo hivyo haki ya Mungu wengi tutakwenda na maji kwa kuning'inizwa hivi. Maana huko Yemen hata ukimwangalia sana mwanamke inahesabika umezini ukikonyeza ndo balaa inabidi kuvaa tinted kabisa.
 
Wenyewe pia sharia hiyo hawaipendi
nani atakubali kwa kula vitu vyako
unyongwe namna hiyo?

Sasa ukiwa Yemen halafu dushelele
likasimama si una kufa yaani ni kama
mwizi aliyekurupushwa.
 
Wenyewe pia sharia hiyo hawaipendi
nani atakubali kwa kula vitu vyako
unyongwe namna hiyo?

Sasa ukiwa Yemen halafu dushelele
likasimama si una kufa yaani ni kama
mwizi aliyekurupushwa.

48150_472734586109223_155826781_n.jpg

Ukipatikana Yemen unafanya hivi unahukumiwa kunyongwa hadharani
 
Huu ni ukatili wa ajabu sana yaaani kuzini tu mtu ananyongwa bila huruma
 
Wenyewe pia sharia hiyo hawaipendi
nani atakubali kwa kula vitu vyako
unyongwe namna hiyo?

Sasa ukiwa Yemen halafu dushelele
likasimama si una kufa yaani ni kama
mwizi aliyekurupushwa.

ndo itabidi jieleze kwa nini dushelele limesimama......,
maelezo yasipojitosheleza Kitanzi kinachukua nafasi yake
 
936075_517075258359236_1014984784_n.jpg

Hawa ni raia watano wa Yemen wamepatikana na hatia ya kuzini na wanawake wa Saudia Arabia hukumu yake ndo hiyo majina yao ni Khaled, Adel, Qasim Saraa, Saif Ali Al Sahari na Khaled Showie Al Sahari.

Sasa wenzangu wanao shabikia Mahakama ya Kadhi au mambo Sharia hii adhabu itakuwepo? Kama ndo hivyo haki ya Mungu wengi tutakwenda na maji kwa kuning'inizwa hivi. Maana huko Yemen hata ukimwangalia sana mwanamke inahesabika umezini ukikonyeza ndo balaa inabidi kuvaa tinted kabisa.
Salamu za heri kwa wote: Mkuu acha propaganda zako huo ni UONGO kuwa walizini:- hao walikuwa maCriminal genge lilo kuwa linafanya UJAMBAZI,MAUAJI,WIZI,UVAMIZI na UBAKAJI na hayo hapo uyaonayo ndiyo MALIPO yao......(ujazi wa aina hiyo upo Saudi Arabia miaka mingi sana) Sasa watetea haki na usawa huruma ziko wapi? Wenzenu wame weka wazi kabisa tena mchana kweupe !! mwenye ng'oo au kuhoji asisemee humu "jF" azuwie kama rijali..!!

Huko kuna hukumu ya UPANGA kwa mtu alokuwa na mazoea ya ujambazi wakutumia silaha. Je kuna shaka au ufanisi wa utetezi wako/wenu pelekni UMOJA wa Matifa au HUMAN RIGHTs au hata pengine mtasikilizwa.
ila kama unapenda kuwatukana Watanzania wenzio na wandugu wa uswahilini sema na uchokozi ni wako. Siku moja mtakutana. Longlive Neno la Mungu.
 
Kama mtu anakula dudu ananyongwa, Je akiua atafanywa nini?

Sheria gani hizi hazitoi adhabu kulingana na uzito wa kosa?
Je akibaka atapewa adhabu gani..
Salamu za heri kwa wote: Mkuu acha propaganda zako huo ni UONGO kuwa walizini:- hao walikuwa maCriminal genge lilo kuwa linafanya UJAMBAZI,MAUAJI,WIZI,UVAMIZI na UBAKAJI na hayo hapo uyaonayo ndiyo MALIPO yao......(ujazi wa aina hiyo upo Saudi Arabia miaka mingi sana) Sasa watetea haki na usawa huruma ziko wapi? Wenzenu wame weka wazi kabisa tena mchana kweupe !! mwenye ng'oo au kuhoji asisemee humu "jF" azuwie kama rijali..!!

Huko kuna hukumu ya UPANGA kwa mtu alokuwa na mazoea ya ujambazi wakutumia silaha. Je kuna shaka au ufanisi wa utetezi wako/wenu pelekni UMOJA wa Matifa au HUMAN RIGHTs au hata pengine mtasikilizwa.
ila kama unapenda kuwatukana Watanzania wenzio na wandugu wa uswahilini sema na uchokozi ni wako. Siku moja mtakutana. Longlive Neno la Mungu.
 
muongo ile adhabu siyo ya mungu ni wayahudi.

Back
Top Bottom