Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Hawa ni raia watano wa Yemen wamepatikana na hatia ya kuzini na wanawake wa Saudia Arabia hukumu yake ndo hiyo majina yao ni Khaled, Adel, Qasim Saraa, Saif Ali Al Sahari na Khaled Showie Al Sahari.
Sasa wenzangu wanao shabikia Mahakama ya Kadhi au mambo Sharia hii adhabu itakuwepo? Kama ndo hivyo haki ya Mungu wengi tutakwenda na maji kwa kuning'inizwa hivi. Maana huko Yemen hata ukimwangalia sana mwanamke inahesabika umezini ukikonyeza ndo balaa inabidi kuvaa tinted kabisa.