Ukizifungua 'codes' za wanawake wenye aibu, utafurahi kukutana nao

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Salaaam,

Nawa-admire sana wanawake wasio na aibu faragha coz wapo open sana na ni wepesi kuonesha mautundu yao kwenye game tofauti na wanawake wenye aibu.

Wanawake wenye aibu faragha ni wagumu sana kuonyesha mautundu yao hasa kama hujafanikiwa kufungua code zao, hawa wanahitaji utulivu mkubwa katika kuwaandaa ili code zao zifunguke, na ukifanikiwa kufungua code zao aibu huwatoka na huwa tayari kuonyesha mautundu yao yatakayokufanya uenjoy zaidi game, hawa wanawake ni watu hatari sana katika game hasa ukifanikiwa kufungua code zao.
 
Code code codee.

Kwenye 6x6 hamna mwenye aibu.

Unaweza kukutana na charming lady na usizing'amue code zake vilevile.
Mkuu anaweza kuwa charming bado akawa na aibu faragha, wanawake wasio na aibu faragha wengi wao ni wepesi kukueleza code zao tofauti na wenye aibu ambao hukuachia jukumu la kuzing'amua mwenyewe.
 
Tufundishe namna ya kufungua code
Wanawake wapo tofauti, wapo ambao code zao zinapatikana kwenye unyayo wa miguu, wengine mapajani, wengine tumboni, wengine kiunoni, wengine nyuma ya magoti, wengine mgongoni, wengine shingoni, wengine maskioni na nk...

Kitakachokufanya ung'amue code ya mtu wako ni reaction ya msisimko baada ya kumgusa eneo hilo hivo unahitaji kua mbunifu wakati wa maandalizi kwa kumgusa karibu kila eneo la mwili wake ili uzijue code zake.
 
wanawake wapo tofauti, wapo ambao code zao zinapatikana kwenye unyayo wa miguu, wengine mapajani, wengine tumboni, wengine kiunoni, wengine nyuma ya magoti, wengine mgongoni, wengine shingoni, wengine maskioni na nk...

kitakachokufanya ung'amue code ya mtu wako ni reaction ya msisimko baada ya kumgusa eneo hilo hivo unahitaji kua mbunifu wakati wa maandalizi kwa kumgusa karibu kila eneo la mwili wake ili uzijue code zake.
Kwa iyo ukimgusa tu hivyo, unatumiwa comfirmation code kwenye simu au?!!

Na unazijazia wapi, kwenye papuchi!!?
 
Amkeni
Zama zimebadlika mahusiano yamekuwa biashara

Tulikubaliana hakuna kujenga kambi sasa hizo vat na code zimetokea wapi?
 
Back
Top Bottom