Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

Wanaume mjue, hakuna atakayempenda mtoto kama mama yake!!!!!!!! (Unless wamama wachache wenye matatizo yao)

Acha mama alee mwanae.

Mambo ya kutia wake zenu dhambi acheni.

Mama yako au ndugu zako hatompenda mwanao kama ambavyo angependwa na mama yake

Afterall kila mtu apambane na uterus!!! yake
Ninakupinga. Hata wanawake nao wanachangamoto. Kuna wanaowatesa watoto wao hadi aibu.

Binafsi, nimeishi na wanawake wawili kwa nyakati tofauti. Wa kwanza alikubali kunilelea mtoto aliyenikuta naye kabla sijaoa. Alimlea kwa upendo kiasi kwamba jamii ilishangaa.

Bahati mbaya alifariki. Nikaoa single mother. Tukakusanya watoto wake na wangu tuwalee pamoja. Hadi leo sijaona dalili ya mtoto kulalamika kutopewa huduma na mama yao.

Kwa kweli, mke au mme kumtesa mtoto wa kufikia ni tabia ya mtu tu na siyo single mother wala father.

Tuwaheshimu ma single mama jamani. Wahukumiwe kwa tabia ya mmoja mmoja na siyo usingle mama.
 
Wanaume mjue, hakuna atakayempenda mtoto kama mama yake!!!!!!!! (Unless wamama wachache wenye matatizo yao)

Acha mama alee mwanae.

Mambo ya kutia wake zenu dhambi acheni.

Mama yako au ndugu zako hatompenda mwanao kama ambavyo angependwa na mama yake

Afterall kila mtu apambane na uterus!!! yake
shida mnageuza watoto ATM Card na huduma anazopata ni tofauti na makusudio yako labda mfungiwe camera tena yenye sensor na kingine kibaya zaidi mnawajaza watoto upuuzi kuhusu baba zao inapelekea mtoto anakua na -ve attitude kwa mzazi wake wa kiume.
 
Kwanza sio mama wote ni walezi bora Kwa mtoto!
Wengine wadangaji na malaya mtoto atajifunza nini tangu utoto wake toka kwa mama yake ?

Wengine mazingira ya uswahili matusi kama yote, ndio mtoto anajifunza kudanga au upanga road akiwa darasa la 2
 
Tena ukitaka mtoto umuwahi kitabia akie na kushika tabia njema muwahi akiwa Mdogo wa miaka 2-3 au hata chini ya hapo ,

Ukimchukua miaka 5 na kuendelea ni mtihani kitabia,

Utakuta mazingira alikotoka hata kupenda kusoma hataki,

hataki kujishuhjulisha na Maswala ya Shule .

Tabia za ajabu ajabu,

Hataki kuonywa akionywa anaona hapendwi,

Inakuwa mtihani.
 
Wanaume mjue, hakuna atakayempenda mtoto kama mama yake!!!!!!!! (Unless wamama wachache wenye matatizo yao)

Acha mama alee mwanae.

Mambo ya kutia wake zenu dhambi acheni.

Mama yako au ndugu zako hatompenda mwanao kama ambavyo angependwa na mama yake

Afterall kila mtu apambane na uterus!!! yake
😂😂😂😂😂😂
 
Kinachotakiwa, aliyeweka mbegu ndio agharamie matunzo ya mtoto akiwa chini ya himaya ya mama yake; inapotokea mama anaolewa tena, mama anaweza akampeleka shule (boarding) kwa gharama ya baba wa mtoto
Inawezekana hauna mtoto sasa mtoto apelekwe boarding kwa msingi upi? Kama baba mtoto haujaoa ulipata mtoto kabla ya ndoa lea mwanao mwenyewe mama mlezi mueleze kabisa lazima aji adjust kukaa na mwanao pia unatakiwa umueleze kwamba unajua sio wa kwake na hawezi kumtreat kama wake ila point ya msingi lazima mwanamke aji adjust..na mtoto ajiadjust kuishi na mama mlezi..inakua imeisha..hio..
 
Inaumiza sana kwa kweli,bora kummwagia hata usoni tu kuliko kumwagia ndani kisha mnapata mtoto anaanza kuteseka
Dah.....ukweli unaouma....singo Maza wengi waliotelekezwa.... walikuwa katika hali ya ulevi siku ya tukio🤭
 
Malezi ya Mtoto ni ya Baba na Mama,Fungeni ndoa ndipo mzae watoto muwalee watoto wenu,Haya maswala ya alelewe na mama yake sio sahihi au baba yake sio sahihi.
Kondom zipo,Njia za hospital zipo,Za kienyeji zipo zuieni hizo mimba, WATOTO WAMEKUWA WAHANGA WAKUBWA WA UMALAYA WA WAZAZI WAO.TUBADILIKE TUPATE KIZAZI BORA.
 
Amen
 
Sometimes unaweza kumuacha kwa mama yake then akaja kuolewa na jitu lenye akili mbaya then akamfanyia unajisi/ubakaji wa kimya kimya,,,daaah kizazi hiki shida tupu
 
Back
Top Bottom