Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,217
- 6,347
Naona huu mwaka umeanza vibaya na masingo mazas, tusipoangalia watakuja kujiua ama kuua watoto zao
hakika lips denda😋Hakika
Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya.
Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani yetu. Wakati huo, hao wakaka walikuwa na miaka 25 hivi kwa kukadiria. Walikuwa warefu, wamejazia, na weusi kiasi; mnavyojua tena ulevi wa warembo wa mjini, wakashawishika, na dada mmoja akazaa na jamaa mmojawapo.
Yule dada alifikiri kuzaa na jamaa, angepata ndoa; Mambo yakawa tofauti. Basi yule dada akamtelekeza mtoto kwa mwanaume. Mwanaume naye akampa mama (bibi wa mtoto) yake amlelee mtoto.
Unavyojua tena, bibi wa mtoto alikuwa bado anapenda ujana. Akawa anamtesa sana yule mjukuu; yule mtoto akawa anakuja nyumbani kwetu, nampatia chakula, mpaka akawa rafiki yangu.
Baada ya mwaka mmoja, sisi tukawa tumeama ule mkoa, imepita kama miaka miwili hivi, tukapata habari yule mtoto alishafariki. Niliumia sana, nikajua chanzo ni wao kutokuwa karibu na mtoto.
Kwa sasa, yule bibi yake pia alishafariki.
Nilichojifunza; mtoto yeyote unayezaa nje ya ndoa alelewe na mama yake mzazi; we uliyemzalisha, jukumu lako ni kutuma hela ya matumizi tu, ili mtoto apate huduma bora.
Thread tayari, na wale wanawake wenye wanazaa na kuwaachia mama zao wawalelee mtoto iko vipi? Usikariri.Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya.
Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani yetu. Wakati huo, hao wakaka walikuwa na miaka 25 hivi kwa kukadiria. Walikuwa warefu, wamejazia, na weusi kiasi; mnavyojua tena ulevi wa warembo wa mjini, wakashawishika, na dada mmoja akazaa na jamaa mmojawapo.
Yule dada alifikiri kuzaa na jamaa, angepata ndoa; Mambo yakawa tofauti. Basi yule dada akamtelekeza mtoto kwa mwanaume. Mwanaume naye akampa mama (bibi wa mtoto) yake amlelee mtoto.
Unavyojua tena, bibi wa mtoto alikuwa bado anapenda ujana. Akawa anamtesa sana yule mjukuu; yule mtoto akawa anakuja nyumbani kwetu, nampatia chakula, mpaka akawa rafiki yangu.
Baada ya mwaka mmoja, sisi tukawa tumeama ule mkoa, imepita kama miaka miwili hivi, tukapata habari yule mtoto alishafariki. Niliumia sana, nikajua chanzo ni wao kutokuwa karibu na mtoto.
Kwa sasa, yule bibi yake pia alishafariki.
Nilichojifunza; mtoto yeyote unayezaa nje ya ndoa alelewe na mama yake mzazi; we uliyemzalisha, jukumu lako ni kutuma hela ya matumizi tu, ili mtoto apate huduma bora.
Hilo pia ni tatizo, mtoto anatakiwa alelewe na mama yake mzaziThread tayari, na wale wanawake wenye wanazaa na kuwaachia mama zao wawalelee mtoto iko vipi? Usikariri.
Sababu iliyomfanya hivyo ni kuzidiwa na majukumuWell sometimes wa mama wazazi hawajielewi pia. Mama mzazi amlee ( kama anajielewa) bibi au hata shangazi.yoyote mwenye moyo wa kumtunza yule mtoto.. kuna wanandoa walikuwa na wtt 5 wakaachana . Mama akabaki na wtt. Akapata bwana, bwana akamwambia wtt ni wengi, mama akakata ticket ya treni, waingia kwenye treni na wtt wawili wakubwa, kabla treni haija ondoka, akasema anaenda nunua maji, hakurudi mpaka treni ikaondoka, mama mzazi huyu
Unagharamikia tu matunzo ya mtoto, kama kwa mwezi laki 1,2 n.k mwisho wa siku mtoto ndio atatoa hukumu.Yani huyo mmoja tu ndio utoe conclusion ya wengi kama si wote?
Incidence moja tu ndo useme hivyo?
Nani anataka kuibiwa maisha yake yote kwa njia ya ruzuku ya matunzo?
Kwanini unipe mzigo wa kutunza familia nyingi?
Wewe tena..hakika lips denda😋
I second your opinionKumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya.
Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani yetu. Wakati huo, hao wakaka walikuwa na miaka 25 hivi kwa kukadiria. Walikuwa warefu, wamejazia, na weusi kiasi; mnavyojua tena ulevi wa warembo wa mjini, wakashawishika, na dada mmoja akazaa na jamaa mmojawapo.
Yule dada alifikiri kuzaa na jamaa, angepata ndoa; Mambo yakawa tofauti. Basi yule dada akamtelekeza mtoto kwa mwanaume. Mwanaume naye akampa mama (bibi wa mtoto) yake amlelee mtoto.
Unavyojua tena, bibi wa mtoto alikuwa bado anapenda ujana. Akawa anamtesa sana yule mjukuu; yule mtoto akawa anakuja nyumbani kwetu, nampatia chakula, mpaka akawa rafiki yangu.
Baada ya mwaka mmoja, sisi tukawa tumeama ule mkoa, imepita kama miaka miwili hivi, tukapata habari yule mtoto alishafariki. Niliumia sana, nikajua chanzo ni wao kutokuwa karibu na mtoto.
Kwa sasa, yule bibi yake pia alishafariki.
Nilichojifunza; mtoto yeyote unayezaa nje ya ndoa alelewe na mama yake mzazi; we uliyemzalisha, jukumu lako ni kutuma hela ya matumizi tu, ili mtoto apate huduma bora.
Kama mama hamtaki mwanae?Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya.
Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani yetu. Wakati huo, hao wakaka walikuwa na miaka 25 hivi kwa kukadiria. Walikuwa warefu, wamejazia, na weusi kiasi; mnavyojua tena ulevi wa warembo wa mjini, wakashawishika, na dada mmoja akazaa na jamaa mmojawapo.
Yule dada alifikiri kuzaa na jamaa, angepata ndoa; Mambo yakawa tofauti. Basi yule dada akamtelekeza mtoto kwa mwanaume. Mwanaume naye akampa mama (bibi wa mtoto) yake amlelee mtoto.
Unavyojua tena, bibi wa mtoto alikuwa bado anapenda ujana. Akawa anamtesa sana yule mjukuu; yule mtoto akawa anakuja nyumbani kwetu, nampatia chakula, mpaka akawa rafiki yangu.
Baada ya mwaka mmoja, sisi tukawa tumeama ule mkoa, imepita kama miaka miwili hivi, tukapata habari yule mtoto alishafariki. Niliumia sana, nikajua chanzo ni wao kutokuwa karibu na mtoto.
Kwa sasa, yule bibi yake pia alishafariki.
Nilichojifunza; mtoto yeyote unayezaa nje ya ndoa alelewe na mama yake mzazi; we uliyemzalisha, jukumu lako ni kutuma hela ya matumizi tu, ili mtoto apate huduma bora.
Hiyo husababishwa na baba wa mtoto kutohudumiaKama mama hamtaki mwanae?
Zinaa ni nini kwanzaMtoto wa zinaa ni mtoto wa mama,,,,na sio wa baba,,,hata jina la mtoto linaanza na flani mtoto wa flani/Mama. Na siyo baba.
SWALIZinaa ni nini kwanza
Ni nani anayesema huyu mwanamke ni halali, na huyo ambaye ni halali jinsia yake inatofauti gani na yule ambaye si halali?JAWABU الجواب
➡Zinaa ni neno lenye maana ya kitendo cha:
"Mwanaume baaleghe kuingiza utupu wake katika utupu wa mwanamke ambae si halali kwake"
Ni nani anayesema huyu mwanamke ni halali, na huyo ambaye ni halali jinsia yake inatofauti gani na yule ambaye si halali?
Ni utaratibu tu waliojiwekea binadamu ili kuzuia migogoro; lasivyo tungekuwa tunaishi kama wanyama na ndege, leo uko kwa huyu, na kesho kwa yule.Mwanamke uliemuowa kwa ndoa ndio halali yako. Tofauti na hapo ninyi ni wazinifu. Post namba 37 imeshakufafanulia.
Wewe ni imani gani??