Ukiweza kuwa na mbinu ya kupata kila Tsh.100 ya Kila Mtanzania unakuwa Billionaire chaapu

Duh njaa mbaya sana,

Hapo jobless wapo,watoto under18 wapo,machizi,mataahira,wapo,wasio nashughuli maalum kwa ukosefu wa ajira wapo,

Kutengeneza pesa sio kazi rahisi rahisi tu.
bt hao wote unaowaongelea ww hawafiki nusu ya hiyo ya watu labda robo yao
 
Fanya utafiti upate dawa ya kuzuia kung'atwa na mbu,yaani Anti mosquito.
Ipitishe ithibitishwe na TfdA na TBS

Then itengenezee package ndogo mfano wa dawa ya meno iwe yakupaka kama lotion mwili mzima, mtu akipaka analala hata bila net mbu asisogee.ila kwa binadamu iwe na harufu nzuri.

Iuzwe 300 tu kwa tube moja
Hapo faida yako iwe Tsh 100
Fanya watanzania
Kadilia watu 20 mil watumie kila siku kati ya Mil 61 ya Watz wote
20,000,000×100
2,000,000,000/= kwa siku
Utatoboa
 
motivation spika. Peleka kwenye uhalisia sasa hakuna kitu
Wakuu katika fikra za nimeweza kugundua kwamba kama utaweza kupata Tsh.100 ya kila mtanzania bas unaweza kuwa billionaire chaapa
Iko Hivi; Tanzania ina watu takriban 61,711,296
61,711,296×100= 6,171,129,600
Shida ipo kwenye namna ya kuipata hiyo 100 ya Kila mtanzania bado nalifanyia kazi

Nimeamua Kushare na nyie huenda kuna mtu ambae anaweza kuwa na wazo la namna ya kuipata hiyo Tsh.100 ya Kila Mtanzania....... Karibu uchangie kile unachokiwaza wewe juu ya h
 
Ova
download%20(1).jpg
 
Back
Top Bottom