bt hao wote unaowaongelea ww hawafiki nusu ya hiyo ya watu labda robo yaoDuh njaa mbaya sana,
Hapo jobless wapo,watoto under18 wapo,machizi,mataahira,wapo,wasio nashughuli maalum kwa ukosefu wa ajira wapo,
Kutengeneza pesa sio kazi rahisi rahisi tu.
Wakuu katika fikra za nimeweza kugundua kwamba kama utaweza kupata Tsh.100 ya kila mtanzania bas unaweza kuwa billionaire chaapa
Iko Hivi; Tanzania ina watu takriban 61,711,296
61,711,296×100= 6,171,129,600
Shida ipo kwenye namna ya kuipata hiyo 100 ya Kila mtanzania bado nalifanyia kazi
Nimeamua Kushare na nyie huenda kuna mtu ambae anaweza kuwa na wazo la namna ya kuipata hiyo Tsh.100 ya Kila Mtanzania....... Karibu uchangie kile unachokiwaza wewe juu ya h
Kama hilo wazo linaweza kuwakamata mabeberu njoo PM.Mimi Wazo ninalo natafuta connection na Yusuph Bakharesa muda sasa sijapata..