Ukiwasikiliza vizuri wazee hawa Lowassa, Sumaye na Membe utagundua kuwa vyama vyote vya Upinzani ni mali ya CCM

Mbona hawataki kuruhusu mikutano ya hadhara na tume huru ya uchaguzi kama ni kweli hakuna upinzani? wapuuzi wakubwa
Wanajua vizuri sana kuwa CHADEMA ndiyo movement kubwa ya upinzani wa kisiasa inayotishia dola. Ni sauti ambayo hata CCM wengi wanaitegemea kuwarudi viongozi wao wanapojisahau na kuzidisha mambo ya ovyo (excesses). CCM kama chama cha siasa is long dead.

Rejea awamu ya nne jinsi Magufuli alipokuwa waziri alivyokuwa akimtukuza Rais Kikwete hadharani na kuunga mkono maamuzi ya ovyo bungeni - huku nyuma ya pazia akimhimiza Kafulila (aka tumbili) akomae na ufisadi wa Tegeta Escrow! Unafiki kwa kwenda mbele.

Leo hii, CCM wengi hawana raha na kesi ya kijinga ya ugaidi dhidi ya Mbowe.
 
Kwanini baba ako asianzishe?
Eti mtu kama wewe unaweza kuwa mwanachama, au hata kiongozi kwenye chama cha upinzani; hivi hicho chama kitakuwaje kweli?
Watu kama nyie ndio mnatufanya sisi tusio na vyama tuione chadema ni genge la wahuni ambao kazi yao kubwa siyo kueneza sera za chama bali kurusha matusi tu huku mitandaoni. I'm sorry for chadema 😢
 
Usipojiunga na CHADEMA mimi nitapungukiwa na nini? shame on u
 
Back
Top Bottom